Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana) profile picture

Social and Political Comedian

Joined December 2021
Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)Photo by Spana Matrix (confused people) (@MatrixSpana)
😆😆😆 unataka wasitumie mzee.
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna. Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
1
30
Spana Matrix (confused people) retweeted
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna. Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
17
9
4
279
16,839
Spana Matrix (confused people) retweeted
Kwahiyo hatuko huru?
This map says it best. Freedom is the foundation of our strongest partnerships. The United States and Australia stand together as free nations, where people can speak, vote, and worship as they choose. In China, those freedoms are denied.
9
8
2
40
4,636
😀😀😀
Wakina Nyerere hawakuhitaji PhD kuandika Azimio la Arusha na kutengeneza falsafa ya Elimu ya Ujamaa na Kujitegemea. Kuna namna elimu ya makaratasi inatutengenezea kiburi na ukatili wa kisenge sana. Elimu iliyopaswa kututoa kwenye zama za ujima na kutustaharabisha ndio inatufanya wapumbavu na wanyama kuliko wanyamapori.
9
😀😀😀😀
Mbogamboga ndio watetezi wa FAM 😀 Kweli nyakati ubadilika 🙌🏼
1
1
77
Spana Matrix (confused people) retweeted
Mbogamboga ndio watetezi wa FAM 😀 Kweli nyakati ubadilika 🙌🏼
Kuna mengi yalitokea kati ya FAM na TAL haswa wakati wa kampeni za ndani ya chama. Tuliyoyaona mitandaoni na kwenye media ni asilimia ndogo tu ya yaliyokua yanaendelea nyuma ya pazia. Kama FAM kaamua kutokuishi kinafiki na kuendelea na maisha yake muacheni. Alishakabidhi chama na majukumu yake yaliishia pale. Mengine muda utazungumza.
10
13
4
140
7,350
Spana Matrix (confused people) retweeted
Kwa tuliolelewa na mama wa kambo tumejifunza kitu kimoja kikubwa sana kwenye maisha ya binadamu ‘subra’ mimi sitakutukana kwasababu kwenye umri wako hakuna tusi hujawahi sikia, ila ipo siku tutakukumbusha, M/Mungu atupe uhai.
Tunashukuru kwa kidogo kilichopatikana,
59
163
2
618
18,264
Cooling break..😀😀
Kwahiyo waheshimiwa majaji wameamuaje kuhusu uchochezip, anafungwa au analipa faini au yote mawili kwa pamoja au wameenda kula kwanza?
18
We have not failed TL, but rather democracy has failed him.
1
20
Imagine Cdm had John Wick traits 🤣🤣🤣. Forgive me in Advance Father.
Watu wenye nia ovu hawakosi sababu.
11
Yo move Cdm, they have played theirs.
6
Unashikwa kwa wizi, then unahukumiwa kwa ulawiti.
11
Spana Matrix (confused people) retweeted
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
9
218
10
531
14,292
Pasi ya kisigino hii mzee.
Kesi ni ya Uhaini, Hii Sedition wametoa wapi wakurungwa?
12
Afu mshauri ni kabudi
Kinachowasumbua ni "How to deal with a popular man"
13
Hawa jamaa ni pesa tu, M7 pale anawapa pesa tu..Wamesahau hata kama ni dikteta.
Mnaotegemea mataifa ya nje yatatetea au kupigania uonevu na haki Tanzania basi mjue mnakosea, mataifa ya nje yapo kwaajili ya kutetea Israel tu ila hizi nchi zetu za kiafrica ata itokezee uhalifu aina gani akuna chochote kitakachotokea
1
1
11
Spana Matrix (confused people) retweeted
What a privilege it is to read such a powerful and bold statement. The Man, The Myth, The Legend 🙌🏼
“Waheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia m’rekodi proceedings kama mlivyo’rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, it’s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi vi’sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Vi’sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtani’hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
11
54
386
15,343
Ukitazama vizuri kuna ushindi pia, ilimpasa mwana wa adam apite hio njia ili kufahamu tumeweka imani yetu kwenye mahakama zisizojua haki. -kifo cha Yesu ilikua ni ushindi
We have failed you TAL 💔
1
25