Spana Matrix (confused people) retweeted
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna.
Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
Spana Matrix (confused people) retweeted
Mbogamboga ndio watetezi wa FAM 😀
Kweli nyakati ubadilika 🙌🏼
Kuna mengi yalitokea kati ya FAM na TAL haswa wakati wa kampeni za ndani ya chama. Tuliyoyaona mitandaoni na kwenye media ni asilimia ndogo tu ya yaliyokua yanaendelea nyuma ya pazia.
Kama FAM kaamua kutokuishi kinafiki na kuendelea na maisha yake muacheni. Alishakabidhi chama na majukumu yake yaliishia pale.
Mengine muda utazungumza.
Spana Matrix (confused people) retweeted
Kwa tuliolelewa na mama wa kambo tumejifunza kitu kimoja kikubwa sana kwenye maisha ya binadamu ‘subra’ mimi sitakutukana kwasababu kwenye umri wako hakuna tusi hujawahi sikia, ila ipo siku tutakukumbusha, M/Mungu atupe uhai.
Spana Matrix (confused people) retweeted
You are not politically neutral
You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
Spana Matrix (confused people) retweeted
What a privilege it is to read such a powerful and bold statement.
The Man, The Myth, The Legend 🙌🏼
“Waheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia m’rekodi proceedings kama mlivyo’rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, it’s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi vi’sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Vi’sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtani’hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.”
Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
Spana Matrix (confused people) retweeted
Hivi Jamii ina expect mwanaume a react namna gani pale Mwanamke anapomfuata kazini kwake kumfanyia fujo?
Spana Matrix (confused people) retweeted
Nimesikiliza Press Conference ya @godbless_lema Kibo Palace Hotel leo 1-11-2026. Nimehitimisha; he is a political novice. Hajui hata political synergies zinazo-boost Chama chake. CHADEMA wataangalia namna ya kudhibiti damages kwa Chama vs. personal glorification. No leadership!
Spana Matrix (confused people) retweeted
Ni kama dunia ina reward watu ambao morally tunaona wakosefu 😀
Spana Matrix (confused people) retweeted
Looks like France is about to get a Regime Change before Iran
The firefighters have JOINED the protestors
Spana Matrix (confused people) retweeted
The Bible said no man has seen God but Nigerian pastors visit heaven weekly to see God.
Spana Matrix (confused people) retweeted
Mtu hayupo in speaking terms na Wazazi au siblings, wewe anakudanganya mmetoka mbali hawezi kukuacha 🤣
Kukosa umakini hii.
Spana Matrix (confused people) retweeted
What a third world . France doesn't even know to govern itself
Spana Matrix (confused people) retweeted
Just a reminder #france supported the riots in Iran , now shoe is on the other foot
Spana Matrix (confused people) retweeted
Waiting for Mark Levin to tweet, 'Arm the French students! Arm them! Arm them!'
Spana Matrix (confused people) retweeted
A book that says slaves should obey their masters cannot liberate you.


























