samwel Matu retweeted
Replying to @lucaskifyasi
Unajua kwanin hatufanikiwa/hawafanikiwi most of them tumetoka vijijin tukasahau asili zetu,tumefika mijini tunawakana "WAHENGA "tunaenda kwenye makanisa/misikiti na kuwalaani,unategemea kabisa utafanikiwa 🤔,ndugu zanguni waafrika ni wakati wa kujitambua....
















