wagada (@wagada1981) header
wagada (@wagada1981) profile picture

utulivu

Arusha, Tanzania
Joined March 2021
Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)Photo by wagada (@wagada1981)
wagada retweeted
Mtangazaji alikuwa anatikisa tuu kichwa. Repost 200
14
315
3
1,470
43,883
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29. TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
6
53
2
247
3,460
Hizo safari za Johari ni kodi za wananchi ndio zinatumika, aloo nchi ikikombolewa watazitapika
7
61
1
466
46,235
Watanzania tuamke inchi inapigwa hii sio na jua tu, na wezi
39
219
7,840
AIBU KUBWAA !!! UTAWALA WA DAMU BADO UNASAKA DAMU ZA WAPAMBANIA HAKI KWA HALI NA MALI 😳😳 LOL!!! AIBUUU!!!!
4
21
92
2,188
wagada retweeted
The Legend " Charlie Chaplin" Incredible mind of a man !🔥🔥
114
1,691
98
10,742
691,370
wagada retweeted
WATANGANYIKA TUMEBAKIZA SIKU CHACHE KUELEKEA KWENYA MAOMBOLEZO
9
31
121
1,967
8
31
1
242
16,092
wagada retweeted
VIDEO: “Bwana mmoja ambaye sijui ndiye ‘Mkurugenzi wa hali ya hewa’ anaulizwa El Niño itakuja lini anasema sasa hivi tuko katikati ya El Niño…au ni mimi nilimsikia vibaya? Mlimsikia au hamkumsikia? Kwamba unajua kwenye nchi nyingine El Niño ni jua…wewe! Sisi tunakuuliza India au tunakuuliza sisi?”, Heche. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akizungumza Oktoba 23, 2026, alipohutubia mkutano wa hadhara wilayani Nzega mkoani Tabora ambapo amehoji matumizi ya matumizi ya kiasi cha Shilingi bilioni 730 alizoeleza kuwa zimetengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua za El Niño. Hata hivyo mwanzoni mwa mwezi jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Watu Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, alisema shilingi bilioni 730 ni yaliyotajwa katika mpango wa kujiandaa na kukabiliana na El Niño, na hayahusu maandalizi pekee, bali yanajumuisha gharama za hatua zitakazochukuliwa endapo majanga yatatokea.
17
64
2
527
28,616
Bahati mbaya sana, wafuasi wa chama chake bado hawashituki kwamba jamaa alishawapiga mnada! Siasa za nchi hii, usipokuwa ndumila kuwili, unapata taabu sana, ndiyo maana dogo aliamua arudishe majeshi sisiyemu.. Anyway, wewe ni takataka, bwana mdogo!
3
8
3
43
2,444
wagada retweeted
LISSU amekaa zaidi ya mwaka jela , hakuna kitu tume fanya kumpigania mtu anaye tupigania . LISSU anaanza mgomo wa kula bado sisi tuko tu ,hapana aisee MO29 ianze sasa. Kila mwenyewe utimamu na mpigania haki na uhuru, huu ni wakati wakati wakusimama kwa vitendo.
8
25
1
70
1,909
After months of hard work, this man caught children trying to reap what they did not sow in his sugarcane farm. He then did what the Bible says about discipline and canned them thoroughly.
24
82
1
833
124,877
Nchimbi anasema tu Tudai katiba mpya anapotezwa afu kuna watu wanafikiri tutaipata katiba kwa kukaa mezani yaan kwa amani tu. Wanaosema tu tunataka katiba wanapotezwa bila amani afu tutegemee tutaipata katiba kwa amani kweli. Mapambano ya nguvu hayaepukikii.
4
19
1
126
3,731
TWENDENI OFISINI KWA JAJI MKUU KWA UMOJA NA WINGI WETU, KUDAI HESHIMA YA MAHAKAMA HUNGER STRIKE YA LISSU NI KILIO CHA JAMII NZIMA Kitendo cha Mwenyekiti Tundu Lissu kugoma kula si suala lake binafsi pekee. Ni ujumbe mzito kwa jamii yetu na kwa kila mmoja wetu kwamba tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu ipasavyo katika kusimamia haki. Ndiyo maana amefikia hatua ya kupigania haki yake mwenyewe kwa njia ya hunger strike. Hii ni fedheha kwa jamii nzima. Tunapofika mahali ambapo mtu analazimika kuhatarisha afya na maisha yake ili haki isikike, tunapaswa kujiuliza, tumeshindwa wapi kama jamii ? Kilio cha Lissu ni mwaliko kwetu sote kutafakari upya wajibu wetu na kutafuta njia sahihi, za pamoja na zenye uzito, za kupinga uonevu na kudai haki. Katika mkutano wa leo Morogoro, nimewaeleza wananchi kwamba nitamuomba Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa chama kufikiria kuitisha Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu, ili tujadili hatua za pamoja za kuitikia kilio hiki. Miongoni mwa hatua nitakazopendekeza ni kuandaa maandamano yatakayoongozwa na viongozi wakuu wa chama, kuelekea moja kwa moja katika Ofisi ya Jaji Mkuu, kuonyesha mshikamano wetu na kudai haki pamoja na heshima ya Mahakama. Huu si wakati wa kutazama Lissu akipambana peke yake. Ni wakati wa kujiuliza sisi sote tunapaswa kufanya nini ili haki isitafutwe kwa gharama ya maisha ya mtu. Tuna wajibu wa kuchukua hatua za pamoja ili kumuepusha Tundu Lissu na mateso na kuhakikisha kilio chake kinasikilizwa. Haki ya mtu mmoja ni wajibu wa jamii nzima. Kilio cha Lissu kisiishie kuwa kilio chake, kiwe mwamko wa dhamiri ya taifa. TWENDE KWA UMOJA.
32
90
5
461
30,972
5
32
1
145
1,719
Nchi imefika hatua nzuri sana.
12
127
1
807
20,866
Biashara Vs Kazi Huu mjadala haujawahi kuisha ..
5
12
1
58
3,438
Asante sana Watanzania mnaoishi Marekani ambao mmejitokeza na mnaoendelea kujitokeza kwenye Maandamano ya ambayo yanaendelea muda huu njee ya Ubalozi wa Tanzania, Washington DC. #Mo29 #FreeTunduLissu #TunyongweWote
6
117
1
604
15,961
wagada retweeted
INTIMIDATION WILL NOT WORK , TANZANIA TRUTH WILL ALWAYS BE SAID. SAMIA NA GENGE LAKO MMEUA WE DEMAND ACCOUNTABILITY. WATANZANIA WA MAREKANI TUNASIMAMA NA NDUGU ZETU @Liberatus80 @mangekimambi @tausilikokola @SiasaMaisha2030
6
54
1
205
4,418
Highway ya Dodoma–Dar es Salaam… sorry, road strip! 😂 Nimepita hapa Mitumba, nimeona haya majengo yanayojengwa pembezoni mwa barabara hii. Nikajiuliza moyoni. Population inaongezeka kwa kasi Tanzania, miji inapanuka, na mahitaji ya usafiri yanaongezeka. Sasa hawa wanaopanga miji mipya, bado wanafikiria single-lane roads ? Hawaioni kesho ya miji hii ? Ghafla nikajijibu mwenyewe. Labda hawana shida na kubomoa na kujenga upya. Planning ya leo haizingatii gharama za kesho, kwa sababu kesho wakivunja, tutaita maendeleo! Dodoma ni mfano wa very organized squatters. Majengo yanaweza kupangwa kwa mistari, lakini kama mipango haizingatii ukuaji wa watu, upanuzi wa barabara na mahitaji ya miaka 30/50 ijayo, huo siyo mji uliopangwa vizuri, ni msongamano uliopewa ramani. The real cost of poor planning is not what we build today, but what we must destroy tomorrow.
18
40
2
560
49,843