Victoria Melami retweeted
"Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali." - Mahamama Kuu 6.11.'26
Victoria Melami retweeted
Rushwa ya ngono ni Ukatili wa Kijinsia. Period!
Kwa kushirikiana na LHRC, TAWLA na WAJIKI Tanzania, jumamosi tulikuwa na mjadala wa kina kwenye #ElimikaWikiendi kuhusu rushwa ya ngono, namna ya kutambua, haki za waathirika, njia za kuripoti na msaada wa kisheria uliopo.
Victoria Melami retweeted
Kesho @MelamiVictoria atatujuza kwenye 10 za je Wajua?
Unakosaje sasa kujiunga nasi kwenye jamvi la #ElimikaWikiendi ??
Victoria Melami retweeted
Mambo 10 muhimu ya kutokomeza Ukatili wa kijinsia yataletwa na @MelamiVictoria ndani ya jukwaa la #ElimikaWikiendi
Usikose kufuatilia!
Victoria Melami retweeted
We’re looking for 1,000 Online Volunteers in Tanzania 🇹🇿
Volunteer remotely with UNV to support UNICEF & WHO initiatives—build skills and make real impact.
⏰ Deadlines: WHO 27 Apr | UNICEF 30 Apr 2026
app via links 👇
app.unv.org/api/doa/doa/1784…
app.unv.org/api/doa/doa/1784…
Victoria Melami retweeted
Vote for Savatir in the Zikomo Africa And Caribbean Awards for Author Of The Year. Voting is free after you open a free account, and you can vote once a day. Here's the link: zikomoawards.com/polls/cmhw1… – at Zambia
Victoria Melami retweeted
Day 4 is here and we are very ready. #MO29
Victoria Melami retweeted
.@antonioguterres is deeply concerned by the situation in #Tanzania following the general elections of 29 October. He calls on all stakeholders to exercise restraint, reject violence and engage in inclusive and constructive dialogue and prevent further escalation.
Victoria Melami retweeted
Kwasasa waandamanaji lengo letu ni kufika IKULU.
Beba Bango lako, weka ujumbe kisha tukutane IKULU. #MO29
Victoria Melami retweeted
ACCOUNT MPYA YA INSTAGRAM YA KUPOST MATUKIO YA MAANDAMANO.
instagram.com/edger_edson225…
MJULISHE MWENZIO.
Victoria Melami retweeted
#Tanzania is experiencing a near-complete #Internet outage amidst election day protests. Traffic began falling around 09:30 UTC (12:30 local), now over 90% lower than the previous week.
Follow the current status at radar.cloudflare.com/traffic…
Victoria Melami retweeted
Occupy Vodacom, Airtel & Tigo HQs. Wanatakiwa kuwasha mtandao bila masharti sasa hivi. #MO29
Victoria Melami retweeted
VPN hii pakueni 🤣
Wakizima tugawane na mfumo access to VPN - ndo wameambiana watumie
Nitawawekea zingine!
Victoria Melami retweeted
Hayaa twende kazi 🔥👊🏽
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
#FreeHumphreyPolepole
#FreePolepole
#FreePolepoleNow
Share, post, repost, like, sambaza kote bango
Victoria Melami retweeted
Tumekamilisha siku 5 za mafunzo. Wanawake wajasiriamali wamejifunza masoko ya kidijitali, namna ya kusimamia biashara zao, kuandika business plan lakini pia namna ya kufanya biashara zao kidijitali. Tunawapongeza washiriki wetu kwa kumaliza program.
#ProjectKuongozaTz2024
Victoria Melami retweeted
According to International Finance Corporation, 70% of women entrepreneurs in Tanzania lack formal business strategy. @NdotoTimiza in collaboration with @STEMiAfrica implementing a digital accelerator program #ProjectKuongozaTz2025 to empower women entrepreneurs in Tanzania.
Victoria Melami retweeted
Siku ya 4 #ProjectKuongozaTz2025
Wanawake wajasiriamali wataelezea safari zao za ujasiriamali ikiwa jinsi walivyopata mtaji, changamoto na mafunzo yamewasaidia kwa kiasi gani.
Victoria Melami retweeted
Mafunzo kwa vitendo.
Washiriki wa #ProjectKuongozaTz2025 wametengeneza kurasa za biashara kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na taarifa muhimu kwa wateja wao.
Victoria Melami retweeted
#ProjectKuongozaTz2025 imekusudia kuwaongezea ujuzi wa kidijitali wanawake wajasiriamali ili waweze kulifikia soko la bidhaa zao kwa urahisi kupitia mitandao ya kijamii







































