😔 Tuna safari ndefu sana kwenye BOXING! Muda sahihi wa kupunguza makundi, kuleta umoja na wajuzi wapya ili twendane na mabadiliko technically 🙌
Replying to @siimasoud
Too late, imekua easy fight kwa SORO, punch zake ni heavy na speed yake akupi nafasi.
1
59
Millen Mo retweeted
Wanaume wa kisasa wamepunguza kabisa kusikiliza nyimbo za Hip Hop 🚮.
As a man you should jump to Hip Hop sounds at least once per day, inasaidia kupanuka kifikra.
Epuka hizi love & party sounds, ndizo zinakufanya ushindwe kuwekeza kwenye malengo yako na mipango ya kesho.
Since last night victory, Us @YangaSC_EN fans we are no longer safe, We are being followed by Cars with no plate numbers
16
“..Vyama vya #UPINZANI asidharau! Atumie mawazo yao!..” - @Izzo_bizness 🙌🎶
46
Mungu ni mwema, Nimepata wasaa wa kusikiliza episode ya #HumanTrafficking kupitia AFRIKANNATZ ya nguli @masoudkipanya, Aisee VIJANA tupo kwenye hatari kubwa kwa kukosa maalifa.
DUNIA ni Pana, Ahsante Masoud🙏🙏
57
Nimemsikiliza Baba levo bungeni leo, sina shaka kusema jamaa yuko smart🙌. #Kitaalojia
70





