Millen Mo retweeted
Wanaume wa kisasa wamepunguza kabisa kusikiliza nyimbo za Hip Hop 🚮.
As a man you should jump to Hip Hop sounds at least once per day, inasaidia kupanuka kifikra.
Epuka hizi love & party sounds, ndizo zinakufanya ushindwe kuwekeza kwenye malengo yako na mipango ya kesho.
Millen Mo retweeted
Here’s another angle of the men’s marathon finish.
Talk about squeezing out everything you have left!
#WorldAthleticsChamps
Millen Mo retweeted
Song: Hii Sio Freestyle 4
Album: 259 Vol. 3
Producer: Q The Don
📹: @majojo91
youtu.be/iV9ZE4aAnNY
Millen Mo retweeted
I dropped the best verse wakati bado sijadrop the best verse
“Hii utaipata kwa five senses, line moja ina definiwa na five sentence/ S iko silent ila sikio litafunguka.”🔥🔥
MISTARI ya “Hii Sio Freestyle 4” @fivara_
Millen Mo retweeted
Hii Sio Freestyle 4 (Official Video) out now 🎬🎬🎬
Video directed by Raban
Audio produced by Q The Don
youtu.be/iV9ZE4aAnNY
Subscribe, watch, like, comment and share.
Millen Mo retweeted
“..Tomato, Kachumbari, Weka Pili pili kwa mbali!
Chips! Jaza! Jaza! Mishkaki isiungue sana!..”🎶
Mh Temba, Twenzetu😊
Millen Mo retweeted
Aiseee!!!
Ila wewe jamaa iko siku utakuja kubaini kwamba huu uufanyao Sasa ni Utoto ulio pitiliza an sad enough utakua umechelewa Sana.
Millen Mo retweeted
Replying to @kasesco_tz @MudiMabiriani @TheLaunchPadTZ @amina_hafidh @BaloziMtaa @bajabiri @Yunusi_jr @Gifted_fragranc @IAMartin_ @kigogo2014
Bro unazingua labda kama ni utani na si vinginevyo, unapoelekea sio pazuri na wala hauipi taswira nzuri biashara yako..
Millen Mo retweeted
#DEPRESSION ni Kichaka tu! #WASANII wabadili mifumo ya MAISHA
Hivi karibuni baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva siku hizi wamekuwa wakitumia kisingizio cha depression kuelezea kushuka kwao kimaisha au kimuziki,....
Millen Mo retweeted
🔥🔥🔥🔥🔥 #MpeSimu is out in all digital platforms Maarifa ft @Roma_Mkatoliki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 link onerpm.link/mpesimu-maarifaf…
#MpeSimu #LifeStyle #Motivation #RapAnthem
@JabirSaleh @HimidMao @PresenterNoah @Rydx_017 @DullahTheking2 @bwanabora @CyancutyTz 🔥🔥🔥🔥🔥
Millen Mo retweeted
Nimeskiliza interview ya BARNABA namna akinadi Work ethic ya Diamond Platinumz na ugumu uliofanikisha ile Collabo yao ilotoka hivi karibuni, nimethamin & kunyoosha mikonohustleza kukamikisha hiyo song.
Lakini kama mlaji wa mwisho nimekatishwa tamaa na matokeo, Ngoma mbovu🚮














