Mr Never retweeted
Fascinating scenes from the Young Africans Sports Club [Yanga SC] Parade in the streets of Dar Es Salaam after Winning Ligi Kuu, Tanzanian Premier League. 🇹🇿
📷 @YangaEnglish
Mr Never retweeted
Ujumbe wetu kwenye Kongamano: Mchakato wa #KatibaMpya uanze Oktoba, mwaka huu. Lakini kwa kutambua kuna kazi kubwa mpaka kuipata #KatibaMpya, tunapaswa kufanya marekebisho ya msingi ili tupate #TumeHuru za Uchaguzi za mpito zitakazosimamia Kura ya Maoni na Chaguzi za 2024 & 2025.
Mr Never retweeted
Zanzibar Blue #VisitZanzibar beautiful Island of Africa
Mr Never retweeted
Crimes in Nigeria is 100 times petty crimes done in Zanzibar , Zanzibar is safe…we need 1000 RTs
Mr Never retweeted
Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia hii ndio njia sahihi. Na hili angelilisema mtu mwingine bila kuchelewa angeitwa majina ya kila aina. Nafarijika sana umelisema wewe Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu. Support. #KSK_Balozi
Mr Never retweeted
Ilikuwa ni safari iliyojawa matumaini,jitihada, kujiamini, matamanio, pamoja tulipambana tukiwa na lengo la kuvuka hatua hii na kwenda Kombe la dunia, ila juhudi zimeishia hapa kwa sasa. Inshaalah kuna wakati mwingine tutarudi na nguvu zaidi🙏. Ahsanteni kwa sapoti Watanzania.
Mr Never retweeted
#FeitotoLogoChallenge, Designer mbunifu zaidi nitampatia jezi yenye saini yangu na fedha taslimu.
1. Post kwenye page yako
2. Weka Hashtag #FeitotoLogoChallenge
3. Mention @IamFeisalSalum
*Vigezo na msharti kuzingatiwa, Shindano hili ni la Siku 7 pekee | #Feitoto
Mr Never retweeted
Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Maulid Nabi. Tusherehekee kwa amani, upendo na mshikamano kama tulivyofundishwa na Mtume wetu (SAW). Kuzaliwa kwa Mtume kulete ari na wito mkubwa zaidi wa kuendelea kuijenga nchi yetu na kuinua ustawi wa jamii yetu.
Mr Never retweeted
Safari hii katiba mpya tutaidai kwa vitendo.! Tunajua itakuwa ngumu lakini wananchi watapata wanachokitaka
#KatibaMpyaMovement
Mr Never retweeted
Katiba Mpya ni lazima na siyo matakwa ya CCM.. This time tunataka katiba kwa vitendo
#KatibaMpyaMovement
Mr Never retweeted
Tumedhamiria kuelimisha watanzania juu ya kwa nini wanataka katiba mpya na kwa nini katiba ya sasa ni ya hovyo!
Katiba mpya ni matakwa ya wananchi na lazima waipate..
#KatibaMpyaMovement
Mr Never retweeted
Tumedhamiria kuelimisha watanzania unuhimu wa katiba mpya na kwa nini wanaitaka na kwa nini lazima wawe sehemu ya mchakato huu
CCM we are serious na hili jambo 😁
#KatibaMpyaMovement
Mr Never retweeted
🙌💊
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
#MillardAyoBUNGENI






























