Pinned Tweet
Jifunze kujitegemea ata kama unasaidiwa kiasi gani, kuna siku utayakumbuka makosa uliyoyafanya
Maisha Halisi retweeted
๐ ๐ณ๐๐บ๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ฒ๐ป๐ด๐ฎ ๐ฏ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฑ ๐ถ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ผ๐ป๐ถ.
Hereโs a mini guide: ๐งถ๐๐พ
Kijana unaamua kabisa Kumla bibi wa watu na mbaya zaidi unamrekodi ๐๐๐๐
Dah ๐๐ฎ
150
Maisha Halisi retweeted
Mbona una haraka kijana?
Kulikoni mbona unaharakisha sana maisha yaende kwa kasi kubwa ?
Najua sio kosa lako ila unachangamoto ya AFYA YA AKILI
Mbona una haraka kijana?
Kulikoni mbona unaharakisha sana maisha yaende kwa kasi kubwa ?
Najua sio kosa lako ila unachangamoto ya AFYA YA AKILI
Okay, ili Nahodha aweze kusafiri kutoka maili moja kwenda maili nyingine
Sharti lazima awe na compass direction ๐งญ, ndio itakayo msaidia asipotee
hata si pia tunapaswa kuwa watu wenye malengo angalia kesho yako inakuwaje baada ya 3 -5 years
1
12
Imagine kuna huy braza, jamaa angu kabisa alikuwa ameajiriwa kwa mtu kufanya shughuli za nyumbani ni kama house boy kwa zaidi ya miaka 10
Sasa mwaka juzi kama sikosei amerudi maskani lakini yupo Patupu ๐๐ฎ๐
#PositiveMind
6
Maisha Halisi retweeted
Kiburi hakijengi zaidi ya kuonyesha nguvu zako, bali kiburi kinakubomoa kwa kupoteza watu wa karibu
Kumbuka kuwa, simba hapotezi sifa zake kwa kuinamisha kichwa chake kunywa maji, bali atapata uhai
Soma tena ๐ฃ...
Kiburi hakijengi zaidi ya kuonyesha nguvu zako, bali kiburi kinakubomoa kwa kupoteza watu wa karibu
Kumbuka kuwa, simba hapotezi sifa zake kwa kuinamisha kichwa chake kunywa maji, bali atapata uhai
Soma tena ๐ฃ...
Sema maisha ya kibongo bongo sometime ni kasheshe, imagine ukiwa ten tu, hata kula yako ya mchana haitoshi ๐ ๐ฎ
Pale kwa majirani ukiwa na Jero tu, mpaka kitambi cha siku moja unapata bila taabu
Maisha Halisi retweeted
๐ช๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐น๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐๐ผ ๐๐ฒ๐๐ฒ ๐๐ป๐ฎ๐๐ถ๐ฐ๐ต๐๐ธ๐๐น๐ถ๐ฎ ๐ฝ๐ผ๐ฎโ๐ฎ.๐ฌ
Hereโs my POV: ๐งถ๐๐พ
Maisha Halisi retweeted
Kuku mmoja unanunuliwa kwa6500:
- Vipande viwili ร 5,000 = Tsh 10,000
- Firigisi = Tsh 1,000
- Miguu = Tsh 1,000
- Kichwa = Tsh 1,000
Jumla = Tsh 13,000.
Kuku mmoja 6,500!
Sasa tuseme anauza kuku 10 kwa siku: 6,500 ร 10 = Tsh 65,000
- Kwa mwezi: 65,000 ร 30 = Tsh 1,950,000
๐๐๐
Maisha Halisi retweeted
Ukiona kila mara unarudia yale yale ya zamani ( makosa yako) emu kalisha mwili wako chini, tafuta sehem tulivu kisha jitafakari unachangamoto gani kichwani ๐ง
Maisha Halisi retweeted
Kama kijana jitahidi sana ujifunze "Financial discpline" kuna jamaa mmoja mwaka huu mwezi wa 6-8 duara lake mgodini lilikua linatema sana dhahabu kwa siku kulala na 7M+ nikitu cha kawaida ila cha kushangaza sasa hivi kaishiwa mpaka anakopa hela anunue bando. Hii inawezekanaje?
Maisha Halisi retweeted
Anaandika
Before posting that piece of content.
Jiulize haya maswali;
โ inaweza kumsaidia mtu?
โ unaweza kuiuza kama bidhaa?
โ inaku-position kwenye nafasi gani?
Unatakiwa kuwaza kama mfanyabiashara sio tu mtengeneza maudhui.
@miracleboytz






