Msaky™ retweeted
unyama huu hapa kwa bei ya jioni
kwa 13000 tu
whattsapp 0622754484
delivery ipo mikoani na Dar unalipia
Msaky™ retweeted
Wakili wangu msomi @TitoMagoti pamoja na wakili @KumbushoDawson wameshinda kesi yao ya kikatiba dhidi ya Serikali na sasa Serikali imeamriwa kuufungulia mtandao huu wa X (zamani Twitter) uliokuwa umezuiwa tangu Mei 20, 2025
Hongereni sana kwa ushindi huu mkubwa. Mmeonesha weledi, ujasiri na dhamira ya dhati katika kutetea haki na uhuru wa wananchi. Hakika mmeitendea haki taaluma ya uwakili 💪
Msaky™ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Msaky™ retweeted
Good morning Maisha hayana deni la kukupa kila unachotamani Ndiyo maana unatakiwa kufanya kazi kuwa na subira kujifunza na kumtegemea Mungu. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kwa wakati ulioutarajia
Msaky™ retweeted
Mungu Asante Kwa Kunilinda Usiku Kucha Na Kunipa Nguvu Ya Kuamka Salama.Niongoze Katika Kila Hatua,Uamuzi,Na Maneno Nitakayotamka Leo.Nipe Ufahamu Na Hekima Ya Kukabiliana Na Majukumu Yangu Yote Kwa Utulivu Na Uaminifu.
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼
GOOD🌄MORNING
Msaky™ retweeted
pensi hizi hapa uvae na ile tshirt yetu ya 13000 🔥🔥
pensi 23000 tu
whattsapp 0622754484
delivery ipo mikoani na Dar unalipia
ni online sina duka
Msaky™ retweeted
Replying to @MsigwaGerson
Tafadhali kidogo hapo naomba unieleweshe kuhusu kitengo chako kipya
JINSIA
WANAWAKE
MAKUNDI MAALUMU
Utakuwa sehemu ya kutokomeza mashoga pia au hayo wewe hayatokuwa ndani ya uwezo wako?
Msaky™ retweeted
Shati ya kuvaa jumapili ya Christmas wale wenye ubatizo hii ndo December to remember 🔥🔥
Size S to 3XL
Bei 25000
jumla 20000 anzia pc 3
delivery ipo mikoani na Dar unalipia
whattsapp 0622754484
Msaky™ retweeted
Viatu vizuri vinaongeza mvuto kwenye kila outfit. Kama unapenda kuonekana smart kuanzia kichwani mpaka miguuni, basi usikose kutembelea SUMAVIATU.
📲 WhatsApp: 0742517020
𝕏 X: @Suma_Viatu
🚚 Delivery tunafanya popote ulipo.
Karibu uagize chako leo!
Msaky™ retweeted
Mungu Wangu,Nakushukuru Kwa Kunipa Zawadi Ya Uhai Na Siku Hii Mpya.Niongoze Kwa Hekima Yako,Unilinde Na Mabaya Yote,Ukawe Nuru Kwenye Njia Zangu.Unisamehe Makosa Yangu Na Unipe Neema Ya Kutenda Yaliyo Mema Mbele Zako Na Kwa Watu Wengine Leo.
Amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Good🌄Morning Fam🫂
Msaky™ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 39/40/41/42/43/44/45/46
✅Bei 65,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Msaky™ retweeted
Mungu Nakushukuru Kwa Kunipa Siku Hii Mpya.Naweka Mikononi Mwangu Mwili Wangu,Akili Yangu,Na Kazi Zangu Za Leo.Uniongoze Unilinde Na Mabaya Yote,Ukawe Ngao Yangu Na Nguvu Yangu.Nipe Kibali Mimi Na Familia Yangu Leo,Na Ukajibu Haja Za Moyo Wangu Kwa Utukufu Wako.🙏🏼
Good Morning
Msaky™ retweeted
BRO TO BRO
Thamani yako kama mwanaume ni utu, tabia njema, msimamo, na uwezo wako wa kuwajibika na kutoa mchango chanya kwa maisha yako, familia, na jamii zaidi ya mali au muonekano wa nje
Misingi Muhimu ya Thamani ya Mwanaume 👇
Msaky™ retweeted
Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, na Kulitaja bure jina la Mungu Wangu. (Mithali 30:8-9)
Msaky™ retweeted
Ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai.
Hii ndio sababu ya kuamini tutapata tu.
Good morning wasakatonge wenzangu
Msaky™ retweeted
Kama unapenda kuwa tofauti, anza na dressing yako. Tunazo designs zinazokupa muonekano wa kipekee kila unapovaa.
Karibu @suitmseleleko
📲 0762617089
📍 Msimbazi, Kariakoo.






















































