Travis retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 80,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Travis retweeted
Kuna dada niko nae kwenye dala dala humu anaonekana katendwa sana hizi nyimbo anaimba kwa hisia sana 🙌🙌😀
Travis retweeted
WANARIDHIANA NINI WAKATI HAWAJAWAHI KUGOMBANA? MARIDHIANO BILA HAKI NI MKATABA WA KUSAHAULISHANA!
Walioshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025, jana wanajitokeza kutuambia kuhusu maridhiano. Swali ni: walipokuwa wakishuhudia malalamiko ya uchaguzi, kasoro na madai ya kutokuwepo kwa haki, walichukua hatua gani? Ni wangapi walifungua mashauri mahakamani? Ni wangapi waliitisha hata Press Conference kudai haki na uwajibikaji?
Huwezi kukaa kimya wakati nyumba inateketea halafu baada ya moto kuzimwa ukaitisha kikao cha kusema mmefikia maridhiano bila kutafuta chanzo cha moto na kumuwajibisha mchomaji
Oktoba 29 sio jambo la kufutwa kwa vikao, picha za pamoja au kauli za kisiasa. Kuna maisha yaliyopotea, familia zilizoachwa na majonzi, waliojeruhiwa na wananchi tunahitaji majibu sio hao wanasiasa ambao walishiriki uchaguzi
Maridhiano yaanzie kwenye ukweli, haki na uwajibikaji. Siyo kwenye meza ya mazungumzo inayotumika kufunika yaliyotokea
Travis retweeted
Mwaipaya alikuwa mtu mwema tu alikuwa anatupa updates za mambo ya hapa na pale leo zaidi ya siku 20 haonekani. Kila nikiona hii WhatsApp channel yake naumia sana #FreeTwahaMwaipaya
Travis retweeted
Demu anahesabu wanaume mpaka vidole vya mikono vinaisha ndio unataka umuoe..
Poa kaka uwe na siku njema.
Travis retweeted
Digi 208L fridge 🔥🔥🔥
✅Top inox
✅Frost type
✅Tempered shelves
✅5yrs warranty
✅Ice Maker
✅High star freezer
✅Led Light
Tsh. 740,000/-
Travis retweeted
Wanasema mademu wa kibongo wanapenda mwanaume anayenukia. My brother wewe hata ukijipulizia duka zima la Kalage perfumes unukie ila kama huna hela utaonekana unanuka jasho tu































