✊🏾 We demand justice!
Tag @elonmusk @Support and tell them to #UnsuspendSativa255.
143K voices silenced. He is a human rights defender. Bring back his voice NOW!
#FreedomOfSpeech #BringBackSativa
1
204
Demu akishafanya umalaya akichoka anakimbilia kwenye kuuza nguo, vibegi na viatu
Replying to @lifeof_nono @theWOWstore
Hakika… hayo mavazi kila mtu hupendeza…
Endelea kuyazoea nono….
1
171
Tajiri .. Buyobe kaniblock X ila telegram nalipia uhondo wake hii imekaaje 🤔
Replying to @fbuyobe
Buyobe jana Tumemsikiza ZITTO kwenye Space…
Unaonaje baada ya mechi ya ARSENAL tukafungua yetu kuanzia saa tatu usiku!
Ukatupatia na wewe madini?
Kwahili la @Twaha_Mwaipaya kukatwa jina Hapana kwakwel ni Mpambanaji kwelkwel Jamaa alikuwa anafanya kwa Vitendo kuanzia Leo acha tu nisepe na @TunduALissu na @HecheJohn ila sio #Maria na Diaspora uchwara
1
105
Kwhyo Serikal inasuport 🏳️🌈
#HABARI Watu watatu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuhusika na kifo cha Milembe Selemani (43) aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa GGM mkazi wa Geita huku mshtakiwa wa nne Musa Lubingo akiachiliwa huru baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka kutomtia hatiani.
Hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Geita Kelvin Mhina, imesomwa kwa zaidi ya saa mbili ambapo Jaji Mhina ameeleza kuwa kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka mahakama imewatia hatiani washtakiwa wa kwanza hadi wa tatu na kumuachia huru mshtakiwa wa nne Musa Lubingo.
Waliotiwa hatiani katika kesi hiyo namba 39 ya mwaka 2023 ni Dayfath Maunga (30),Safari Labingo (54) na Genja Deus Pastory.
Jaji Mhina ameeleza kuwa kutokana na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo hakuna ubishani kuwa Milembe alifariki na mwili wake kukutwa na majereha kama ilivyothibitishwa na shahidi wa sita aliyekuwa daktari aliyeufanyia mwili uchunguzi.
Kuhusu mshtakiwa wa kwanza shahidi namba 11 ambaye ndiye aliyeandika maelezo ya onyo ya mshtakiwa alikiri kupanga ,kutafuta wauaji na alikiri kuishi na marehemu kama mume na mke na kuwa alikuwa ananyanyaswa na alitaka kuondoka lakini ilishindikana.
Akitoa hukumu hiyo jaji Mhina ameeleza kuwa kwa mujibu wa sheria washtakiwa hao wanahukumiwa kunyongwa hadi kufa na kuwaeleza kuwa wana haki ya kukata rufaa endapo hawajaridhika na hukumu hiyo.
#EastAfricaTV
4
147
Kwahili na pingana naww asilimia 101% yaan hizi mamb yakuegemea upande mmoja kisa ww Team Western sio sahihi bwana @YerickoNyerereT hapa unaonaje kwako studio @siadevinci
unavailable
1
42
Kwani ndugu Mwigulu hii nchi mnampango gani nayo 🤔hiv unavyochukua hiyo mikopo mnajadiliana wote ama nimaamuz ya kikundi kidgo cha walamema ya nchi yetu au mnataka kuiuza kinyemela yaan inasikitisha na kuuma kwakwel Tozo nizann sasa 🤔😳
unavailable
Kenya Kenya Kenya 🤔
If you wonder how many rivers the East African Crude Oil Pipeline would cross, here you go:
#EACOPexplained #EACOP #StopEACOP @elisonk @SsekatawaAli @larrouturou @map4env
Muko na habari gan funjo na @HildaNewton21 😁
TOT Wakenya baada ya matokeo.
"Nilijua tu Hasila Ruto atatoboa"
"Baba ametisha sana"
Hawana upande, hawana wanachokijua, ni vibes tu😂😂😂





















