
Everything & Everyone at their own pace . Sales & Marketing @misanbees
Earth
Joined February 2021
- Tweets2.7K
- Following1K
- Followers396
- Likes7.1K
Michael Sessan retweeted
Whenever I feel demotivated, I rewatch this...
Elon Musk in a living room in 2008, 12 days from bankruptcy, pitching a $109,000 car to people...
Michael Sessan retweeted
Bro went bar to bar with Jamhuri, defended himself with no access to his lawyers and witnesses and the Cort didn't find him guilty of TREASON. He didn't lose his mind and kept smiling in every appearance he made despite foul play, Tundu Antipas Lissu is GOATED 🙌
Michael Sessan retweeted
“Waheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia m’rekodi proceedings kama mlivyo’rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, it’s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi vi’sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Vi’sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtani’hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.”
Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
Michael Sessan retweeted
TUNDU LISSU: Sijawahi kupatikana na hatia kwa kosa lolote la jinai; Wamenishtaki kwa miaka 24 na hawajawahi kunipata na hatia hata mara Moja. Mnapofikiria adhabu ya kutoa kwa hili mnaloliita kosa msisahau mnatoa kwa mtu ambaye hajawahi kupatikana na hatia EVER!
Michael Sessan retweeted
Dear Entrepreneur, everybody loves the launch photo. Fewer people love stock counts, receipts, payroll and answering the same customer question for the 19th time. Yet that boring work is often what keeps the doors open.
Michael Sessan retweeted
Maisha ya Binadamu kamwe hayawezi kupimwi kwa kulinganisha na maafa ya wenzetu
Katiba yetu pia inasema, kila mtu ana haki ya kuishi na kupata hifadhi ya uhai wake kwa mujibu wa sheria
Hatutasahau October 29
#BREAKING: TANZANIA YASISITIZA VURUGU ZA UCHAGUZI TATA WA OKTOBA 29 'NI NDOGO UKILINGANISHA NA AFRIKA'
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mohamed Thabit Kombo, amesema vurugu zilizotokea Tanzania ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine ya Afrika.
Akizungumza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, waziri huyo alieleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliwapa viongozi wenzake taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa nchini, ikiwemo kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu pamoja na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana na mahusiano ya jamii.
the older you get, the more you realize luck is mostly exposure, if you sit in the same place, have the same routine, talk to the same person, nothing new really happens, you have to engage the world to win, travel more. talk to people.
Today, the European Parliament’s Foreign Affairs and Development committees and its Subcommittee on Human Rights will shortlist candidates for this year’s Sakharov Prize. Among the nominees is Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, nominated by the EPP Group.
"Tundu Lissu has been at the forefront of the struggle for electoral reform, political fairness and the restoration of democracy in Tanzania. Despite relentless persecution, he has remained steadfast in his fight. His nomination sends a powerful message of solidarity with democracy defenders around the world and reaffirms our support for their courage and determination," says @ReinholdLopatka MEP, who spearheaded his nomination.
Read more: epp.group/9denr4yj
Michael Sessan retweeted
Promote yourself shamelessly.
People will either judge you or pay you.
Either one is good for you.
Michael Sessan retweeted
Nobody tells you this but the only networking skill you need is to have something to offer.
No firm handshake, golf swing or small-talk will make someone exchange contact with you if they don’t feel you can add value to them.
Michael Sessan retweeted
It takes sheer courage to procrastinate. You either have an insane amount of faith in your last-minute abilities, or you are simply unbothered by the consequences of inaction. Either way, you’ve sure got some guts.
Michael Sessan retweeted
Your future self is depending on the choices you make on the days when motivation is nowhere to be found.
Michael Sessan retweeted
Do not let one successful month convince you that you have mastered business. Markets change. Customers change. Technology changes. Your own costs change. Stay teachable when things are going well, because arrogance often enters through the same door as success.
Michael Sessan retweeted
Chagua idea flani unayotaka kujulikana nayo then lock in tengeneza content za kutosha kuihusu.
Watu wanaona greatness hata kama wewe unahisi hakuna kitu kinatokea.
Michael Sessan retweeted
Umeona hiyo attention unapata kwenye mambo ya hapa na pale?.
Ukiweka efforts zaidi na consistency ya kutosha unaenda mjini asap.
Ukikaa kimkakati ukawa unasukuma na vitu kadha kuhusu mishe zako huoni kama unatengeneza mchongo?.
The EPP Group has nominated lawyer, human rights activist and politician Mr Tundu Lissu as a candidate for the Sakharov Prize.
After surviving a 2017 assassination attempt, Mr Lissu returned to Tanzania to continue advocating democratic reform, only to face arrest, treason charges and exclusion from the 2025 presidential election, while his party was barred from participating.
His case reflects the wider erosion of democratic pluralism and political competition in Tanzania.
For the EPP Group, Mr Lissu represents a powerful combination of personal courage, democratic conviction and geopolitical relevance. His nomination affirms that Europe stands with those defending constitutional democracy and political freedom in Africa and in other partner countries of the EU. Mr Lissu embodies the defence of democracy, political pluralism, the rule of law and fundamental freedoms at extraordinary personal cost.
The Sakharov Prize for Freedom of Thought is the highest tribute paid by the European Union to human rights work.
Michael Sessan retweeted
Before starting another side hustle, calculate whether doubling down on the one already working would produce a better return.


















