Pole sana, ulishakubali maridhiano, sema wenzako wenye tamaa ya fedha za wazungu wamekuchinjia baharini.
Ila usijali, kuna wengi sana utaungana nao huko Korokoroni.
MtataProMax retweeted
Huyu mama hanaga akili kama kaka yake Chiba tu. hii familia wote ni wagonjwa wa akili hawa
Yaani ina maana hajui matendo ya kaka yake? Au alikuwa anakwenda mahakamani kufanya nini? Hakuwa anasikiliza au?
Chiba hakufunzwa na waliomlea sasa kakutana na wakufanana naye wanamfunza ya dunia. Atukie yaani 📌
Dada yake, Tundu Lissu amezungumza baada ya Hukumu ya Kaka yake, Mwenyekiti wa Chadema ambapo ameweka wazi kuwa siku zote Lissu ni mtu wa haki na yaliyotokea leo yamelitia doa Taifa.
#KitengeUpdates
𝐊𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐍𝐍𝐄 𝐊𝐈𝐌𝐄𝐙𝐈𝐍𝐆𝐀𝐓𝐈𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐋𝐀𝐌𝐀 𝐖𝐀 𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐀𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀.
Hukumu hii ya miaka minne jela kwa Lissu imezingatia maslahi mapana ya Taifa na usalama wa Tundu Lissu.
Ilikuwa haina budi kwa Lissu kufungwa kwa sababu kama angeachiwa huru pengine Wananchi wangemshambulia sana mtaani na hatimaye kuwaua kwa kusababisha machafuko ya Oct 29 ambayo yaligharimu maisha ya wapendwa wao. Hivyo, Mahakama imetumia hekima na weledi wa hali ya juu kumfungia miaka minne kupunguza hasira za wananchi dhidi ya Lissu. Lissu akiwa jela atakuwa salama zaidi.
Pili, Lissu kufungwa miaka minne italifanya Taifa liwe na amani na utulivu zaidi, utulivu na amani ni vichocheo vikubwa vya uchumi na maendeleo. Ili tuendelee, tunahitaji amani na utulivu na Lissu kubaki uraiani na inatishia maendeleo na ustawi wa Taifa letu.
Zile rasta tunakwenda kuzinyoa leo. Hatutaki chawa mule. Haya wale wafuasi, muda wa kunyoa hizo nywele umefika. Nashauri apelekwa Maweni Tanga, kule kunamfaa zaidi.,
Kinachokwenda kumtokea Lissu litakuwa fundisho kwake na wafuasi wake. Na nyie mnaojificha nje ya nchi mkidhani mko salama sana, kila mmoja atafikiwa kwa muda wake.
MtataProMax retweeted
𝐇𝐀𝐏𝐏𝐘 𝐀𝐍𝐍𝐈𝐕𝐄𝐑𝐒𝐀𝐑𝐘 my wetu😘
Tunayo zawadi maalum tumekuandalia leo!
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
MtataProMax retweeted
Sasa mnaamini kuwa CHADEMA imaendeshwa na wanaharakati? Fatilieni hiyo Press ya Golugwa ni upuuzi mtupu
MtataProMax retweeted
Hii Tume ya Jaji Lila inakwenda kufunga watu, inakwenda kufuta watu kazi na inakwenda kuandika historia kubwa sana. Mark this tweet.
Wakati kesho watoto wa Lema raia wa Canada wakiwa wanacheza Gofu, wewe nenda kafanya fujo Mahakamani kwenye hukumu ya Lissu.
𝐓𝐄𝐂 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮𝐮𝐚 𝐏𝐫𝐨𝐟. 𝐊𝐢𝐠𝐡𝐨𝐦𝐚 𝐌𝐚𝐥𝐢𝐦𝐚. 𝐇𝐢𝐥𝐢 𝐦𝐭𝐚𝐭𝐮𝐛𝐮 𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐥𝐮𝐦𝐮?
Kighoma Malima (1938 - 1995);
Akiwa na umri wa miaka 19 tu aliacha Shule Sekondari Tabora ili ajiunge na TANU katika harakati za kuikomboa Tanganyika kutoka kwenye ukoloni wa Mwingereza.
Nchi ilipopata Uhuru aligundua kwamba kuna hili kubwa dhidi ya Waislamu ndani na nje ya serikali, mgawanyiko huo wa kidini wenye dhulumu ulichochewa na Wakatoliki wanaopokea maelekezo kutoka TEC.
Alijitoa TANU na kuanzisha chama chake cha siasa cha National Reconstruction Alliance (NRA) na kutangaza kugombea Urais wa nchi 1995 ili aweza kurudisha usawa wa kidini ya serikali na nchi, TEC, CIA na M16 hawakupenda.
Waislamu wote nchi nzima, kama walivyomuunga mkono Mwalimu miaka yote kablaya Uhuru hadi Uhuru, ndivyo walivyopanga kumuunga mkono Kighoma Malima, na duru zote ziliashiria tayari Malima anakwenda kuchukua kiti cha Urais 1995 kupita NRA.
Katika mazingira ya kutatanisha, Agosti 5, 1995 Kighoma Malima alikufa ghafla Jijijini London nchini Uingereza alikopitia kutoka Makka alipokwenda kuhiji/kufanya umra, hii ni siku chache tu baada ya yeye kutangaza azma yake ya kugombea Urais wa Tanzania.
TEC walihusika kusuka mpango wote huu, TEC tayari walikuwa na kijana wao Benjamin Mkapa, ambaye ndiye alikwenda kuwa Rais wa Tanzania. CIA, M16 kwa msaada wa TEC, walidhulumu roho ya Kighoma Malima. Tuwalize, hili watatubu lini na kuomba msamaha?
















