
Posting, Repost and Quote #Fun_Viral_Video | Usipo nisikiza Utanielewa Vipi 🎶
dar es salaam
Joined November 2011
- Tweets18K
- Following919
- Followers619
- Likes2.4K
Pinned Tweet
Eh Mungu wangu sina mengi, NISAIDIE NITIMIZE AHADI NILIZOMUAHIDI MAMA AKIWA BADO YUPO HAI.
3
570
Baba G retweeted
Can these teams play 1&2+ shots on target in 2nd half? We will find out.
200 odds
Code: AZX06Q
Baba G retweeted
Baba, ninaomba tembelea kila nyumba inayowakilishwa na mtu anayesoma ujumbe huu;
Pale penye ugonjwa, leta uponyaji.
Pale penye migogoro, leta amani.
Pale penye uhitaji, fungua njia.
Pale penye huzuni, rejesha furaha.
Baba G retweeted
Siku ya 308 kati ya 365 - 2026 ✝️
“Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha.”
📖 Mwanzo 27:20
Baba G retweeted
Na unapoomba usiku wa leo, omba kwa ajili ya 'Riziki.'
Muombe Mungu akutosheleze mahitaji yako kwa njia ambazo hukuweza hata kuzifikiria.
Mikono yako isikose chochote na moyo wako uwe na uthubutu.
Yeye bado ni Mungu muweza!
Baba G retweeted
Anaekumbuka zile hesabu za kutafuta eneo lenye kivuli naomba anielekeze aisee, Hili jua litaniuwa😂💔
Baba G retweeted
Mwanaume Anapambana Ili Kufanya Baba Yake Ajivunie Kuwa Na Mtoto Kama Yeye..
Mwanaume Anapambana Ili Kumfurahisha Mama Yake..
Mwanaume Anapambana Ili Kutimiza Mahitaji Ya Familia..
Kila Kitu Mwanaume Anafanya Ni Kwaajili Ya Watu Wengine, Hivi Ndivyo Wanaume Tulivyo…
Baba G retweeted
Natamka!
Nimebarikiwa.
Leo itakuwa siku yenye matunda mema.
Hakuna kikwazo kitakachozuia fursa kubwa zilizo mbele yangu.
Popote niendapo, mwongozo na ulinzi wa Mungu vitakuwa pamoja nami daima.
Hii inatufundisha nini 😂
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki pamoja na mkewe Lucy katika ajali ya helikopta Septemba 30, 2026, amewaachia wafanyabiashara watatu wa magari jijini Harare madeni yanayofikia dola za Marekani milioni 5.1, kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na chombo cha habari cha Zimbabwe News Now (ZimLive), Oktoba 20, 2026.
Kwa mujibu wa chanzo hicho, wafanyabiashara wanaodai fedha hizo ni Exquisite Cars, Enterprise Car Sales na Faramatsi Motors. Faramatsi Motors inadaiwa dola milioni 2.4, Exquisite Cars dola milioni 1.4 na Enterprise Car Sales dola milioni 1.3.
Ripoti hiyo inaeleza kuwa Chivayo alikuwa akipata magari ya kifahari kwa utaratibu wa mkopo uliomruhusu kulipa baadaye, kwa kawaida ndani ya miezi mitatu, huku malipo yakitegemea mizunguko ya fedha zilizotolewa na Hazina ya Serikali. Alijijengea umaarufu kwa kutoa zawadi za magari na fedha taslimu kwa watu binafsi na taasisi, hususan makanisa.
Victor Vikela, mmiliki wa Exquisite Cars, alikataa kujadili kwa kina madeni hayo akieleza kuwa anaheshimu urithi na uhusiano wake na marehemu. Hata hivyo, alipinga kiasi kilichoripotiwa kuwa ni kikubwa kupita kiasi na kusema deni lolote ambalo Chivayo aliiachia kampuni yake limefutwa. Wakati huohuo, mmiliki wa Faramatsi Motors, Matsika, alikataa kutoa maelezo akitaja sera ya kulinda siri za wateja.
Kwa mujibu wa ZimLive, wafanyabiashara wa magari nchini Afrika Kusini pia wanadaiwa kufuatilia mali za marehemu wakitaka kurejesha fedha za magari yaliyotolewa kabla ya malipo kukamilika. Baadhi ya magari hayo yanadaiwa kubaki katika mpaka wa Beitbridge kutokana na kutolipiwa kikamilifu ushuru wa forodha.
Ripoti hiyo pia imeibua maswali kuhusu umiliki wa mali za Chivayo, ikiwamo jumba lake la kifahari katika eneo la Gletwyn, Harare, ambalo alikubaliana kulinunua kutoka kwa aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Polisi, Augustine Chihuri, mwaka 2017 kwa dola milioni 2.555. Hata hivyo, uhamisho wa umiliki haukukamilika kutokana na mgogoro wa tathmini ya kodi, baada ya Mamlaka ya Mapato Zimbabwe (ZIMRA) kutathmini thamani ya nyumba hiyo kuwa dola milioni saba.
Chivayo, ambaye kampuni zake ziliripotiwa kuwa na mikataba ya Serikali yenye thamani ya karibu dola bilioni moja, pia alidai kumiliki mali katika Uingereza, Dubai, Eswatini na Afrika Kusini. Sasa wasimamizi wa mirathi yake wanatarajiwa kuchunguza madeni, mikataba ya ununuzi na umiliki halisi wa mali hizo, huku mustakabali wa biashara zake na ndege yake binafsi aina ya Gulfstream G550 ukiwa na maswali ambayo bado hayajajibiwa, kwa mujibu wa ZimLive.
18
Baba G retweeted
Sema kuna watu wana roho ngumu sana yani unampeleka wife kanisani halafu unarudi kulala baadae unamfuata..😅🫵🏾
























