Dan Chibo (DC) (@danchibodc) header
Dan Chibo (DC) (@danchibodc) profile picture

Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 馃摉 1 Yohana 2:6

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2009
Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)
Siri ni 饾悓饾悮饾惃饾惁饾悰饾悽. Sababu ni 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍. Mpango ni 饾悢饾惌饾悽饾悽. Matokeo ni 饾悕饾悶饾悶饾惁饾悮.
6
68
225
3,997
Maria, Malkia wa Watakatifu Wote, utuombee tunapojitahidi kufikia utakatifu katika maisha yetu ya kila siku. Tusaidie kushinda dhambi, kukua katika fadhila na kumpenda Mungu kwa mioyo wote. Tusiridhike na maisha ya chini kuliko ule utakatifu ambao Mungu anatuita tuufikie. Amina!
19
Sitakuacha wala kukutelekeza馃檹馃徑鉁濓笍
3
11
167
Baba wa Mbinguni, Tunapoanza siku hii mpya, tunakushukuru kwa zawadi ya uhai na fursa mpya. Ongoza hatua zetu, imarisha mioyo yetu, na utujaze amani na hekima yako. Tusaidie kuwatumikia wengine kwa upendo na kuamini mpango wako. Amina!
2
1
6
163
Na unapoomba usiku wa leo, fahamu kwamba; Humuombi Mungu aliye mbali. Unamuomba Mchungaji aliye karibu, ambaye amehesabu kila nywele kichwani mwako. Mchungaji ambaye ameona kila vita ulivyopigana kimya-kimya. Kisha lala, maana umekabidhi mambo hayo kwake yeye ambaye halali kamwe.
1
1
1
15
354
Ewe Mtakatifu Raphael, Mponyaji na mwongoza-njia wa Mbinguni, Wewe uliyemfuata Tobiti na kumrudishia uwezo wa kuona, Wewe unayeleta uponyaji na ulinzi wa Mungu katika kila safari, Njoo kwetu usiku wa leo. Gusa kila mwili uliochoka na moyo uliojaa wasiwasi kwa uponyaji wako mpole.
1
4
126
Ponya yale yaliyovunjika ndani yetu鈥攎iili yetu, akili zetu, mahusiano yetu na roho zetu. Tuongoze salama katika usiku huu, tulinde dhidi ya madhara yoyote na utuongoze karibu zaidi na Daktari wa Kimungu, Yesu Kristo.
1
1
27
Mtakatifu Raphael, rafiki wa Mungu na msindikizaji wa wasafiri, utuombee ili tuweze kupumzika kwa amani na kuamka tukiwa tumefarijika na kujawa na matumaini mapya. Kwa maombezi ya Mama yetu Mtakatifu, tuweze daima kutembea katika mwanga wa Mungu. Amina!
1
13
Dan Chibo (DC) retweeted
Wakati mwingine Mungu hacheleweshi majibu ya maombi yako; anakutengeneza ili uwe tayari kuyapokea. Usikate tamaa kwa sababu mlango haujafunguka leo. Endelea kuomba, kufanya kazi na kumtumaini Mungu.
3
8
67
1,097
Imeandikwa, "Siri ya BWANA iko kwao wamchao; naye atawajulisha agano lake." Kwa jina la Yesu, Bwana na akufunulie siri za hatua inayofuata ya maisha yako, huku ukimheshimu na kumcha yeye. Utaishi katika uhalisia kama mtoto wa Mungu aliye ndani ya agano.
2
17
273
Amina 馃檹馃徑鉁濓笍
1
2
6
192
Kosa moja ambalo hupaswi kulifanya ni kudhani kuwa wema unaowatendea watu utalipizwa kwa kiwango kilekile. Unapokuwa mtu mwema, unaweza kujikuta umezungukwa na maadui wabaya zaidi pasipo kujua. Ni jambo la kushangaza, lakini labda ndivyo Mungu anavyofanya kazi.
2
3
25
387
Maria, Mama wa Uzima, wewe uliyemzaa Mwokozi kwa upendo na ujasiri, uwaombee akina Mama wote, hasa wale wanaochukua uhai ndani yao. Wape nguvu, amani na furaha katika safari ya umama. Kamwe wasijihisi kuwa peke yao. Uwaongoze na kuwapa moyo wa kulea kwa uvumilivu na imani. Amina!
2
7
105
Dan Chibo (DC) retweeted
Replying to @danchibodc
Mungu atusaidie kutumia talanta zetu kwa hekima.
1
1
1
11
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo. Asante kwa wiki hii mpya na kwa kututangulia. Kulingana na Isaya 43:1-2, hujaahidi kwamba wiki hii itakuwa haina changamoto, bali unaahidi kwamba tayari wewe umo ndani yake. Maisha yetu yamo salama mikononi mwako. Amina!
1
4
20
293
Dan Chibo (DC) retweeted
Mungu hupendeza na Moyo wa kutoa kwa kupenda. Ibada iliyo sahihi ni ile inayowajali wajane na yatima. Tumia siku ya leo kutoa sadaka yako kwa watu hawa kwa njia rahisi ya Simbanking. Fanya hivyo na ubarikiwe #BenkiKimpangoWako
2
9
10
248
Bwana hakutupa talanta ili tuzifiche, bali tuzitumie. Hakutulipa kulingana na wingi wa tulichopokea, bali kulingana na uaminifu wetu!馃檹馃徑鉁濓笍
1
3
7
159
Dan Chibo (DC) retweeted
Dear God, Thank You for the gift of this day of worship rest and reflection and for Your faithfulness, love and mercy that sustains us. Lord forgive us, fill our hearts with peace, draw us closer to You today, renew our spirits and let our hearts find true rest in Your love. Amen
34
27
136
1,279
Baba wa Mbinguni, Tunakushukuru kwa zawadi takatifu ya Jumapili nyingine. Uwepo wako wa kimungu utuzunguke, hekima yako ituongoze na neema yako iendelee kututegemeza. Baraka na amani yako zifurike na wema wako uangazie kila hatua tunayopiga. Kwa jina la Yesu, Amina!
3
7
168
Mungu anapokuamsha nyakati za alfajiri, usidhani kila mara kuwa ni usumbufu tu wa kukatiza usingizi wako. Tenga muda wa kusali. Huenda usijue kinachoendelea, maana Mungu anaona kile ambacho wewe huwezi kukiona.
2
25
357
MAMBO MATATU NAKUTHIBITISHIA; 1. Sala hufanya kazi. 2. Baada ya dhoruba, utulivu huja. 3. Mungu ni mwema kila wakati.
3
1
18
222