Pinned Tweet
Nimeahidi mwaka huu 2025 familia yangu ya X mtapata contents za kutosha sanaaa, anzeni kutafuta madaktari bingwa wa kutibu mbavu mapema.
Sasa kabla hatujaanza kazi tupate zile Best of 2024 zilizaofanya mnipe kura za wingi kwenye #WahovyoAwards2024 na kuibuka Best Comedian 2024
Hapa hutawasikia wala kuwaona BASATA maana haya ndio MAADILI wanayotaka watanzania muwenayo kipindi cha miaka mitano ya DIKTETA JIKE.
Ila wakisikia “TEREMSHA BUNDUKI” wanakimbia kufungia hata kama hawajaitwa. Kiufupi BASATA ipo kwaajili ya kuhakikisha watanzania mnakula MAUDHUI YA KISHENZI na watoto wenu wanaishi kwenye misingi hiyo.
Hii nchi ikikombolewa maeneo ni mengi sana ya KUFUMUA. Tutaanza upya kila kona.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
1
3
467
Nanga retweeted
Ila watu wa hii timu wana vituko sana, kwahiyo timu kwa sasa iko chini ya kocha @Nanga_OG 😂😂😂😂
Si bora hata wangempa @Sativa255 pamoja na UJINGA wake angeweza kuwavusha 😂
Nanga retweeted
Nimeumia sana kwakweli toka jana, nimejiona ni kama Underground ninaye anza muziki😁
Eti imagine toka tumetoa huu wimbo hakuna Media hata moja
(Radio wala Online Media) ya 🇹🇿 iliyonivutia konga kwa ajili ya interview😁
Nimefanya na media za Kenya tu!!
Wanangu wamenikaushia kauuuu
kimya kama wanaaga maiti vile!!😁
Ni kama wanaona huu wimbo umekaa kaa kuondoka na wasio na ITHIBATI!!😁
Kweli nyama ngumu sana!!
Keep supporting good music
#ABDUL 🔈🔈🔈🔈🔈
Bila kupepesa macho nipende kuwapa HESHIMA kubwa familia yangu ya X, nyie ndio mmenifungulia milango kwenye haya mambo ya TUZO. Mliona nafaa na mkanipa THAMANI KUBWA.
NAWAPENDA SANA FAMILIA.
@Big0047 @Sativa255 @Mkuruzenzi
Nanga retweeted
Wakati hii video inatoka ulikuwa wapi?
Hii tulishoot 2017, moja ya clip bora sana kutoka SeriousFunny Crew
Cast: @Nanga_OG, Kabo na Bargo Biggo
Director: @directorchuma
Cameraman: @Mkuruzenzi 🫵🏾😎
Nanga retweeted
Familia toka day one 🫵🏾
Tulikotoka ni mbali kuliko tunakoelekea.
#Nanga #SeriousFunny #BestMaleComedian
Cc: @Mkuruzenzi @directorchuma
Tulikotoka ni mbali kuliko tunakoelekea.
#Nanga #SeriousFunny #BestMaleComedian
Cc: @Mkuruzenzi @directorchuma
Nanga retweeted
“Wote Waliokuwepo Pale Walikua Wanastahili Kushinda…, Kilichokuja Kutokea ni Walioshinda Wamestahili Kushinda Sisi Wakati Mwingine Tutajipanmbanua ili Tuweze Kuchukua Hii Tuzo.” - Mchekeshaji @nanga_og
Kwa Urefu wa Video Hii Tafadhali Tembelea YouTube Chaneli
Nanga retweeted
Sababu ni ile ile iliyomfanya Diamond na wasanii wa wasafi kutotaka kuhusishwa na tuzo za Tanzania. Anayestahili kupewa apewe hata kama Tuzo zitakuwa 100 apatiwe tu. Nanga ni comedian poa ila hakuna anayeweza kusimama na Leonardo sio Tanzania bali East Africa kwa ujumla.
Nanga retweeted
#hbtvnews @nanga_og baada ya kuibuka na zawadi ya Milioni 20 usiku wa Jana, akapata wasaa huu wa kuzungumza mbele ya Mhe.Rais @samia_suluhu_hassan
:cc @has_billion
#hbtvupdates
#has_billion
Kipekee nimeamka nikiwa na furaha kubwa sana, huu mwaka ulianza kwa neema ya kupata Tuzo ya heshima kutoka kwenu wana X na jana tumefanikiwa kupata Tuzo nyingine kubwa sana ya Comedy Tanzania.
Asanteni sana kwa sapoti familia yangu, sina cha kuwalipa 🙏🏾
Nanga retweeted
Jitahidi kunyamaza wakati mwingine usipoelewa kitu ili watu wasione UJINGA wako. Uliza swali na sio utengeneze maana za kichochezi kama hizi. Sio kila mtu anayeandika vitu anaweka code kama vipindi vya taarab kusema watu.
Hii sio account ya udaku, umepotea. Watu kama wewe tunawaita “Al Munafiqun”, mapema yote ushaanza taka chonganisha watu ambao ndio kwanzaaa wapo busy wanapiga kazi na wana mipango ina kama miezi 6 nyuma kufanya kazi pamoja.
Post yangu haihusiani na tuzo ila asante umenikumbusha kuhusa NANGA. Jamaa ni mtu poa balaa, nimefurahi sana kuona hatujampa tuzo mtu sababu ya umaarufu wake.
DO BETTER bro !





















