Pinned Tweet
Visa mikasa na miyeyusho 😁
ngl.link/narrowbeeflyng
Narrowbeefly retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Narrowbeefly retweeted
Unapochagua mtu wa kuishi naye milele unakuwa umechagua mtu wa;
1. kukuuguza ukiumwa
2. kuja jela ukifungwa
3. kulala njaa na wewe mkikosa chakula
4. kulia na wewe misibani.
5. Kukesha na wewe kwenye hustle
Wa kwako ukimuangalia unaona atayaweza haya?
Narrowbeefly retweeted
Darasa la saba washahitimu, nenda kijijini mchukue mmoja mfanye kuwa Shop attendant wako, akifanya vizuri mbadilishe kuwa mke wako halali,
Ndoa saa hivi ni kama Academy ya mpira, tafuta vipaji vidogo vifanye kuwa vikubwa acha kuokoteza magume game yenye miaka 20 + utagongewa bro.


















