Wakunesa retweeted
Davido yupo Humble sababu yule jamaa ni tajiri kwao pesa zipo sio mtu wa kuvimba sanaa kama wizkid
Wakunesa retweeted
Mimi ushauri wangu haijalishi dunia inaleta bra bra gani sijui motivesheni gani za kipumbavu ila nakwambia mkali usije oa mwanamke ana mtoto au watoto tiari usithubutu kulea mabao ya mwanaume mwenzio utajuta
Wakunesa retweeted
Ila @GeoConstructors 馃槀
Wakunesa retweeted
Post niliweka draft zote zimefutika,
Bwana elon hataki mimi nitumie tena huu mtandao mboma manyanyasho ni mengi kumamke 馃毊馃毊馃毊
















