Waziri wa Afya, Dr Dorothy Gwajima ikizindua #NyunguSeason3 Mimi ni nani nisipige NYUNGU💃💃💃
1
Ingekuwa bongo leo fyokofyoko za wanaharakat uchwara zingekuwa za kutosha😂..hakuna uhuru bila mipaka maandazi nyie
Halafu kuna wajinga utaskia eti Tanzania imetengwa na jamii ya kimataifa🤣🤣...Keepbit up my country +255 Tanzania
Njaa mbaya sana @godbless_lema yupo radhi aitese familia yake, ameridhia wakawe wakimbizi Nchini kwa watu kwasababu tu ya kukimbia madeni, unafuu wa kuishi bure na kusomeshewa watoto. Shame on you @godbless_lema kwa kukimbia madeni na kuendekeza njaa.
2
#UAPISHOIKULUDODOMA Watu 256 waliohukumiwa kunyongwa nawapunguzia adhabu na sasa wafungwe kifungo cha maisha. Wizara ya Mambo ya ndani kwa kuzingatia sheria mkalifanyie kazi hili na hawa wafungwa washiriki katika kufanya kazi na kulijenga taifa - @MagufuliJP
“Wizara ya Maliasili na Utalii tumekuteua Ndumbaro ukafanye kazi, ukaitumie Sheria yako huko, sio Mtu kila siku unachukua Ndege za TANAPA unakwenda kufanya starehe huko”-JPM
1
Zitto kawaoutsmart katika hili aliwahadaa na mkaaingia mkenge sasa mnatapatapa yeye kapata madaraka.
@ChademaTz is such a waste party
Kuna watu wananipigia kuniambia sisi tumekataa, ila wenzetu wameenda serikali na wabunge wao wanaenda bungeni. Sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini, chama chetu kinategemea kushinda dola na kuongoza nchi, hatufanyi mambo kwa kuiga tunafanya mambo ambayo tunaamini ni sahihi.
Dooooh...kumekuchaaa🤣🤣🤣
Hayawi hayawi hatimae yamekuwa, mwenyekiti wa milele wa @chadematz__ ndugu FREEMAN MBOWE kuondolewa uongozi chamani.
1
1
Piga spanaaaaa...piga spaaaaa
Wakati wanawake wenzake wakipambana, alidhani Kuliwa ndio Kupata Ubunge. Sijui unajisikiaje @HildaNewton21 umekosa vyote.
Iwe mfano kwa wanawake malaya wanaodhani kugawa mwili ndio chanzo cha mafanikio. Ona sasa hata wanaume zako uliowategemea nao hawana cha kukusaidia.
Replying to @halimamdee
@halimamdee mbeba mikrofoni wa spika🤣🤣🤣
"Ogopa sana Mungu na teknolojia"
RIP RUGE
Aibu ya karne kwa @TunduALissu na waasi wenzake.
Kipimo cha juu cha siasa safiii
Hongera Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia @chademaTz kwa kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Mhe Rais @MagufuliJP huo ndio ukomavu wa kisiasa mama.
Demokrasia ya kweli
Kongole mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia @chadematz__ kwa kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Mhe Rais @MagufuliJP hakika umekuwa kielelezo cha ukomavu wa Kisiasa sanjari na dhana ya kwamba Maendeleo ya Chama.@halimamdee @jjmnyika @MayorUbungo @HildaNewton21
Sasa wenzangu na mie mkaandame muipate pate.
Sijui Tundu Lissu nyamikomwe wake Alice magabe ataenda kumficha wapi🤣🤣
This post is from a suspended account. Learn more
1


























