HONGERA AFANDE MULIRO KWA KUSEMA UKWELI π:
Halafu anaibuka mtu mwingine na kusema; βDAR ES SALAAM KUNA UHAINIβ. Tuwakatae WAZUSHI. Msema KWELI ni MPENZI wa MUNGU.
HAKI YA TUNDU LISSU KUSIKILIZWA KIKAMILIFU:
Kwa kuwa MAHAKAMA KUU YA TANZANIA tayari imetamka kwamba; ilikuwa ni MAKOSA kwa Magereza KUMNYIMA Tundu Lissu, HAKI YA FARAGHA NA MAWAKILI WAKE, maana yake ni kwamba; HAKUSIKILIZWA KIKAMILIFU. Yote yajayo yatakuwa ni BATILI.
NAKWENDA KUJIPIGIA TENA:
Nitatumia Kesi ya: PETER MICHAEL MADELEKA vs. REPUBLIC [2024] TZCA 356 (14 MAY 2024) kujipigia hao jamaa. Maana, HAWAJUI kwamba mimi ndiye BINGWA wa βCRIMINAL REVISIONβ.π
Siku nikichafukwa nitawataja MCHICHA MWIBA wote ambao wana VISEBENGO vya KUBEZA mapambano ya kudai HAKI. Hivi kwa nini wanaume wanakuwa na MAMBO YA KISICHANA?
Unawezaje KUSIMAMISHWA UWAKILI KWA MIEZI 6 halafu UKAUFYATA MKIA huku unatuma watu wsko WASIOJUA KUPIGA MSWAKI waje WABEZE Rekodi yangu iliyotukuka ya KUIBONDA Kamati ya MAADILI? Acheni CHUKI ZENU ZA KISICHANA.







