PesaPlan (@PesaPlanApp) header
PesaPlan (@PesaPlanApp) profile picture

Track • Budget • Invest | Nakusaidia kuelewa na kusimamia fedha zako | Become a Pesaplanner | Free on iOS, Android & Web ↓

Tanzania
Joined February 2026
Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)Photo by PesaPlan (@PesaPlanApp)
Scan to Download
1
1
104
Tunamkumbuka Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa. 🇹🇿 Tunaenzi maono yake, uongozi wake na mchango wake katika kujenga Tanzania yenye umoja na uzalendo. Happy Nyerere Day. 💙 #NyerereDay #PesaPlan #Tanzania
2
3
49
PesaPlan retweeted
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
1
3
65
PesaPlan retweeted
Ni app Gani nzuri unaitumia ku-track matumizi ya fedha zako kwenye simu yako ..??
3
5
253
Wakati mwingine, kitu unachokiamini huanza kwa hatua moja tu. Hutajua kitakachotokea mpaka uanze. Kuwa na imani, anza na kile ulicho nacho na uone safari itakupeleka wapi. Ukiamini, anza. #menmenmen #menthepodcast #pesanapreshayake #finance #maisha
3
3
157
Wanawake wanaweza kuwa wastahimilivu sana, lakini hiyo haimaanishi wanapaswa kubeba kila kitu au kuishi kwa presha kila wakati. Ustahimilivu ni nguvu, lakini si lazima kila wakati tuishi kwenye “furnace.” #pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
2
5
195
Sio tu kufanya kazi ili upate pesa, swali ni: Pesa yako inakutumikiaje wewe? Jenga nidhamu ya ku-track uwekezaji na matumizi yako leo. #FinancialEducation #pesanapreshayake #financialplan
3
4
143
PesaPlan retweeted
Siji! Sina! Siwezi! Sitaki - ukiwa comfortable kusema haya maneno uta enjoy sana maisha 😃
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu. Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi. #menthepodcast #menmenmen
1
9
21
1,535
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu. Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi. #menthepodcast #menmenmen
7
1
10
2,315
We had the pleasure of joining Men Men Men Podcast to talk about money, financial pressure, discipline, and why understanding your financial reality matters. We also unpacked the thinking behind PesaPlan and the problem we’re trying to solve. Really enjoyed this conversation.
Pesa ina presha yake. Wanaume wengi hubeba presha ya kifedha kimya kimya. Nidhamu ya pesa si kuhusu namba tu, ni kuhusu afya ya akili, kujitunza na kupata uhuru. Tunza pesa, pesa ikutunze. #menthepodcast #menmenmen
1
1
14

11
2,924

241
PesaPlan retweeted
Appreciate The Chanzo for the opportunity to talk about something I'm deeply passionate about. Personal finance isn't just about budgeting. It's about visibility. Because you can't improve what you can't see. That simple idea is what inspired us to build PesaPlan. 🙏🏾🙏🏾
‘Tunaifanya hela yako ikutumikie wewe, na siyo wewe kuitumikia’ Anazungumza Fredrick Mbuya ambaye ni mwanzilishi wa programu ya PesaPlan inayolenga kumsaidia mtu kusimamia fedha zake kwa ukamilifu. PesaPlan inapatikana kwenye App Store, kwenye Play Store, na pia kama ‘webapp,’ au ukienda kwenye pesaplan.co.tz.
1
2
155