Prosper Masau (@ProsperMasau) header
Prosper Masau (@ProsperMasau) profile picture
Joined March 2012
Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)
Zanzibar kwa Bi Janeth mbuzi "Katoliki" 🔥🔥🔥🔥sasa hapa Uwanjani naangalia mpira kwa full Shangwe Yanga 2 wao 1.💚💛💛
19
DPP angekuwa hata anawasikiliza Wananchi basi wangekuwa tofauti na rufaa yake wangi wangesema hakuna kukata rufaa hizo pesa za kulipa Mawakili Kodi zetu zingeenda kufanya mambo mengine ya msingi....
3
2
2
19
2,833
Michezo hii anataka kutimiza yale yaliosemwa kwamba uchanguzi hautakuwa wa haki.....
UPDATES ✍️ Mgombea wa kiti cha Urais cha kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tanzania TPBRC, CPA Joseph Rwegasira amejiondoa kwenye mchakato wa Uchaguzi unaendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Rwegasira hajaridhishwa na mchakato wa uchaguzi na tayari ameondoka eneo la tukio
139
Kuna msanii wa Maigizo wakati huo Nora aliolewa na mganga Mwizukuru jilala na maisha yake yalikuwa poa tu Jiran acha uwoga wewe 🤣🤣
It's first time in my life kutongozwa na mganga wa kienyeji. Kwenye talking stage i was like woow, huyu ndie ninaemtaka kabisa. Then nikamuuliza unafanya kazi gani, akaniambia Healing people. I thought ni daktari or something mpaka nilivyoona instagram yake kuwa ni mganga wa kienyeji kabisa😭 Inshort anavaa kabisa kaniki na kilemba, anashika manyanga like seriously bru 🤦🏽‍♀️ anafollowers kibao na wateja kwenye comment.. yoo, i know my energy is high, but I am very disappointed😃
1
4
359
Huyo Bodigadi wa IGP Hapo Moshi kwenye mkutano ndo yule alikuwa akimlinda Tundu Lissu wakati wa kampeni za Urais? Au wanafanana tu......
1
1
12
805
Kwa hiyo ofisi za Caf zitakuwa Salamandar🤣🤣🤣
59
Sasa itabidi na sisi wana Msongola B tufanye hivi ingawaje pia tuna nyumba nzuri sasa inabidi tuongeze kama hii....
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap leo Novemba 18,2026 amezindua Nyumba mpya ya Mapadre katika Parokia ya Mtakatifu Augustino Ukonga. Hongereni sana wanaparokia ya Ukonga!
1
103
Hawajamwambia kilichotokea leo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inatarajia kuanza kwa safari za kibiashara za meli mpya ya MV Mwanza kutoka Mwanza hadi Bandari ya Port Bell nchini Uganda. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo.
1
85
Au ndo Majaribio kwa vitendo kama ikitokea imepata Ajari zoezi la utayari🤣🤣🤣
95
Mwananchi yeyote mwenye Akili timamu na mwenye kujua mambo vizuri atapenda Maridhiano yafanyike na Chadema wakiwa ndani ya Meza ya Maridhiano sijui kwa nini tunashupaza Shingo kwenye hili, kama Taifa ni letu sote basi ni vizuri wote twende pamoja asiachwe mtu.
1
4
295
Hapo sheria inasemaje sasa Jinai haifi🤣🤣
Saida Karoli alipata ujauzito wa mtoto wa kwanza akiwa na miaka 13 😱
1
1
192
Daqqwww
Wait for the last one 😭😭💀
43
Kupanga ni kuchagua
Sema hii nchi ina mambo mengi sana ya kustajabisha hivi inakuaje mtu unaacha kazi BBC unakuja kuwa dalali wa viwanja Bunju.
73
Futa kauli wewe ushaiona ya kivule🤣
Location: Ikwiriri, Rufiji Hapa Ikwiriri kuna Barabara nzuri zaidi ya Barabara za Kivule. Hizi ni barabara za mitaa.
1
130
Nawakumbusha tu huku sio kama Kenya.....
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imewaita Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) pamoja na vigogo watatu wa Polisi mkoani Dar es Salaam kufika mahakamani kesho, Novemba 12, 2026, kufuatia maombi ya amri ya Habeas Corpus yaliyofunguliwa na Grace Shio. Wengine walioitwa ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni (RPC), Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Kinondoni (RCO) na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kimara (OCD), ambao wametajwa kuwa wajibu maombi katika shauri hilo lenye namba 25434 la mwaka 2026. Kwa mujibu wa hati za wito zilizotolewa Novemba 10, 2026 na kusainiwa na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu na kusambazwa mtandaoni na Gaston Garubindi, Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu CHADEMA, wajibu maombi wote sita wametakiwa kufika mbele ya Jaji S. Maghimbi kesho saa 3:00 asubuhi kwa ajili ya kutajwa kwa maombi hayo. Hatua hiyo ya Mahakama inafuatia kufunguliwa kwa maombi yanayotaka mamlaka husika kueleza sababu na msingi wa kisheria wa kumshikilia mwombaji, pamoja na kutekeleza matakwa ya sheria kuhusu uhuru wa mtu na haki yake ya kufikishwa mahakamani. Maombi ya Habeas Corpus ni utaratibu wa kisheria unaotumiwa na mtu anayepinga kushikiliwa kwa mtu mwingine, kuitaka mahakama iamuru mamlaka inayemshikilia kumfikisha mbele yake ili kuchunguza uhalali wa kizuizi hicho. Iwapo mahakama itabaini kuwa mtu anashikiliwa kinyume cha sheria, inaweza kutoa amri zinazostahili ikiwemo kuachiliwa kwake huru. Kuitwa kwa vigogo hao kunatarajiwa kutoa nafasi kwa mahakama kusikiliza maelezo ya pande zinazohusika kabla ya kuamua hatua zinazofuata katika maombi hayo.
107
Na hii mvua si ndo zitakosekana kabisa hahahahha
Ndege ya mchana, Mwanza -Dar hakuna. Au ndio mmeenda kutanua nayo ughaibuni? 🤣🤣
2
118
Matamko Yanaanza sasa.......
3
191
Kumekucha
My statement on the conviction of Tanzanian opposition leader, Mr Tundu Lissu.
124
Kwa hiyo mnataka kusema wakuu...
Wanasiasa 11 wa Afrika waliowahi kufungwa kabla ya kuwa Marais bbc.in/3WRzC1l
1
1
279