• 2026: Magari ya China yamezipita chapa za Japan katika nchi 39 (zikiwemo Ujerumani na Uingereza) na kuongoza mauzo Ulaya,
Makampuni ya China kama BYD, Chery, na Jetour yameishika dunia kwa kuuza magari yenye teknolojia kubwa kwa bei nafuu.
Wachina washa teka soko Duniani🙌
Kuboja retweeted
Senator Van Hollen gave U.S. Special Forces Officer Anthony Aguilar an opportunity to share his eyewitness account of the war crimes the IDF has committed against Palestinian civilians.
Chuck Schumer or Hakeem Jeffries would NEVER!!
Kuboja retweeted
This is the most dangerous job. If the rocks blast before you leave, you become powder.
Kuboja retweeted
Replying to @Pyroxenite81 @EsirEid
Qur'an Al-An'am 6:145
imetoa ruhusu ya ya kula Kitimoto kwa dharura Lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Kuboja retweeted
Replying to @Pyroxenite81
Uko sahihi kaka. In shoet alichosema Muhongo ni kweli ni lugha tu aliyotumia ilikua na ukakasi😂.
Mengi alilalamika hadi kunyimwa hoteli ya Kilimanjaro 😂
Kuboja retweeted
Replying to @Pyroxenite81 @EsirEid
Wawili bado akiingia sokoni anapata
Wa4 yaani hapo anakuwa mtumba Tayari
Kuboja retweeted
I like the Kenyan style of democracy people have both freedom of speech and also freedom after speech
Kuboja retweeted
Replying to @Pyroxenite81
Section 72 cha Law of Marriage Act, Cap. 29 (R.E. 2023). 👇
Mume au mke anaweza kufungua kesi ya kudai damages dhidi ya mtu ambaye amefanya uzinzi na mwenza wake wa ndoa.
Kuboja retweeted
Replying to @Pyroxenite81 @ze_mandevu
😁😁kaka kwa ulichokiongea imebidi niende kuangalia ni joined lini
Tusamehe mkuu
Kuboja retweeted
One of the great speeches delivered by an African president.
I think kama AU ingekuwa coordinated, kila Rais anayezungumza kwenye jukwaa hili angepaswa kuifanya hoja hii kuwa sehemu ya agenda ya hotuba yake. A powerful message becomes even more powerful when an entire continent speaks with one voice.
























