Pinned Tweet
Replying to @Sativa255 @guardian
Wavivu wa kusoma ngoja niwarahisishie kwa ufupi kilichotajwa katika Gazeti hilo ni👇
🔴 Malalamiko ya Upinzani:
Hata hivyo, upinzani unadai kwamba mwelekeo wa Samia umebadilika, na sasa wanashuhudia utekaji nyara, mauaji ya wakosoaji wa serikali, na marufuku dhidi ya mikusanyiko ya upinzani.
- Hii inatajwa kama ishara ya kumalizika kwa juhudi za kidemokrasia.
🔴 Utekaji na Manyanyaso:
- Mfano mmoja ni wa Edgar Mwakabela, mwanaharakati aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, kuteswa, na kuachwa na majeraha makubwa.
- Mwakabela alidai kuwa aliteswa na polisi kwa sababu ya kuandaa mgomo wa wafanyabiashara dhidi ya ushuru wa juu.
🔴Hofu ya Uchaguzi:
- Vitendo hivi vinatajwa kuwa mbinu za kuwatisha wapinzani kabla ya uchaguzi mkuu, huku wakosoaji wakihisi kuwa hatua hizi ni za kuonyesha mamlaka na kuzuia ushindani wa kisiasa. – at Dar es Salaam, Tanzania
Replying to @Sativa255
Maandamano ya kukomboa nchi yatafanyika 9th December siku ya kuazimisha uhuru.
Hakuna kurudi nyuma.
1
128
Replying to @FIFAcom
Hello, @FIFAcom
I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA.
Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a position in his political party but failed to secure it. As football fans, we respected that everyone has the right to be a member of any political party they wish.
On August 12 this year, his political party, in which he had sought a position but failed, held a fundraising event to collect money for their general election campaign to be held this October.
Our club president participated in that fundraising as part of his right to be a member of his party. The problem arose when he announced that he was donating to his political party and claimed that it was our team contributing the money — an amount of $38,000.
Our team consists of people from different political parties, and not all of us support the party to which our president made the donation. By doing so, the president implied, in front of his political party, that the team he leads is entirely composed of members of his party and that we all support it.
OUR RIGHTS HAVE BEEN VIOLATED BY OUR LEADER. We have no one to appeal to in this matter because both his political party and his leadership at the club have been arrogant and dismissive, treating us as if we can do nothing about it.
We are aware that FIFA completely prohibits the mixing of politics with football. As YANGA fans who oppose what our chairman has done, we kindly ask you to help us interpret the rules so that JUSTICE CAN BE SERVED for everyone.
Help us tag FIFA. @FIFAcom
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
85
Replying to @TitoMagoti
Kinachoendelea ni polisi wanavunja MILANGO ya ofisi za kanisa wanamtafuta ASKOFU GWAJIMA.
NB: kuna ofisi za kutosha hapo kanisani.
50
Replying to @TitoMagoti
1
87
Habari jamani, Nauza Duka la Nguo na Kodi yake ya miezi mitano iliyobaki 750k ambayo ni laki na nusu kwa mwezi, nauza kila kitu kama kilivyo isipokuwa midoli tu BEI 2.7M maongezi yapo
📍Location : GONGO LA MBOTO (stendi njia ya kwenda Markazi)
☎️0673923454
80
Ukiona Fursa Inamfaa Rafiki Yako Muunganishe Nayo, Chuki Na Wivu Vinapungua Sana Kama Wote Mkifanikiwa.
2
79
Habari, Mimi ni Graphics Designer, Video Editor na Nafanya Video Production ya kila aina mpaka Movie. Kwa yeyote atakae hitaji kufanya kazi na mimi naomba anitafute kupitia namba hizo chini please🙏
0673 923 454 | 0612 054 641
2
245
Watu hawapendi Unafiki na wako Clear hawamtaki mama yenu🤣🤣
@Sativa255 @lifeofmshaba @MariaSTsehai @ChademaTz @mdudenyagali
55
FAHAMU KUHUSU" ILLUMINATI"👇
1. *Illuminati*: Nini Kwanza?
ILLUMINATI ni kundi la siri linalodaiwa kuwa na nguvu kubwa katika masuala ya KISIASA, UCHUMI, na KIJAMII. Ilianzishwa mwaka 1776 na ADAM WEISHAUPT huko BAVARIA, Ujerumani, kama kundi la kupinga dini na uhamasisha uhuru
1
65
Duh
‼️ATTEMPTED ENFORCED DISAPPEARANCE PREVENTED‼️
#Tanzania
Yesterday unidentified plain clothes man tried to leave with a young man but the community refused and saved him!
Nyie @tanpol jana tena huko Mkwajuni Kinondoni kuna huyu aliyedai ni askari kutoka Gongo a Mboto alitaka kuondoka na raia, wananchi wakagoma
HONGERENI SANA WANANCHI 👏🏽
Tusikubali mwenzetu abebwe na apotezwe kama kuku!
Kama mna shida na mtu pelekeni wito afike polisi au fuateni utararibu wa ukamataji!
Nje ya hapo ni UTEKAJI! Tumechoka! Safari hii hatutaki ujinga
#WenyeNchiWananchi #TutaelewanaTu
34
Replying to @ExMayorUbungo
@ExMayorUbungo @IAMartin_ @Sativa255 @lifeofmshaba @MariaSTsehai @mdudechadematz @ChademaTz @godbless_lema
Police sasaivi mtapata taabu sana kutekeleza kazi zenu za ukamataji.
Wananchi tunazudi kuwa wamoja! Hongereni wananchi
25















