
Who Dares Win || @PixelsProFilms™ "I retweet God's creations"
Rock Hill, SC
Joined March 2013
- Tweets26.1K
- Following1.8K
- Followers3.2K
- Likes10.8K
Pinned Tweet
Women are loyal to their feelings they won't care about your damn sacrifices....even if you cross the river, catch a bullet or even kill a lion with bare hands!
Never settle for Less. Man Up!
The reason why I'd rather spend jy time at liquor store than these Hippocratic area! Pathetic
𝗠𝗛𝗘. 𝗚𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗖𝗛𝗢𝗠𝗘𝗧𝗘 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗕𝗜𝗗𝗛𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗚𝗔𝗥𝗜 𝗟𝗔 𝗨𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗠𝗔𝗥𝗔
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki hafla ya kukabidhi gari la utume aina ya Toyota Land Cruiser Station Wagon (GXR High Auto), mwaka 2026, lenye thamani ya shilingi milioni 407.4 (TSh 407,442,114), iliyofanyika Oktoba 24, 2026, katika Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Akizungumza katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Jimbo la Kaskazini mwa Tanzania, Mchungaji Enock Marwa Sando, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wenye thamani ya takribani shilingi milioni 109.
Hafla hiyo pia iliambatana na ibada ya shukrani pamoja na maombi maalum ya kumuombea baraka Mhe. Ghati Zephania Chomete.
1
54
😂😂😂 @MoruoKing jamaa yako
1
80
FawaNews - Simba vs Young Africans - Your Home of Sport fawanews.sc/Simba%20vs%20You…
92
Anza na Bwana! 🌅🙏
Usibebe hofu ya jana kuingia nayo leo. Kila alfajiri ni nafasi mpya ya kuanza upya. Simama kwa imani, tembea kwa ujasiri, na mkabidhi Mungu mipango yako.
“Mkabidhi Bwana kazi zako, nayo mawazo yako yatathibitika.” — Mithali 16:3
Mungu akutangulie. 🤍
1
2
110
Katika Wenye Dhambi.... Mimi ni Mkuu Wao! Ila Yesu alikuja akaminina damu ili niupate uzima!
Anza na Bwana! Ikawe siku njema.
Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi si bora kupita hao?
Anza na Bwana..
Have a good day. Stay sharp. Stay humble. Fear God, keep your word, and handle your responsibilities. Don’t chase validation, don’t entertain every battle, and don’t let temporary pressure make permanent decisions for you.
Do your part. Trust God with the rest. Stand firm. 🙏🏾
66















