
Who Dares Win || @PixelsProFilms™ "I retweet God's creations"
Rock Hill, SC
Joined March 2013
- Tweets26.1K
- Following1.8K
- Followers3.2K
- Likes10.8K
Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi si bora kupita hao?
Anza na Bwana..
Ukiachana na surgery ngumu ya kuwatenganisha mapacha wawili walioungana kichwa aliyoifanya Dr. Ben Carson mwaka 1987 pale John Hopkins Hospital na ikafanikiwa, surgery nyingine ambayo bado inasumbua na haijapata ufumbuzi ni ya kumtenganisha binadamu na kiti cha siasa.
C&P
111
When justice sleeps in the courts, it awakens in the hearts of the wronged.” The hand that strikes in pain may not be righteous, but it often rises from a soil watered by silence and neglect; when evil festers unchecked, vengeance becomes the bitter fruit that tragedy bears.
113




















