
Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
Joined November 2024
- Tweets3.5K
- Following59
- Followers13.1K
- Likes6.4K
Pinned Tweet
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa π umefika nyumbani!
- Business
- Marketing
- Branding
- Sales
- Growth Mindset
- Personal Development
Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi!
Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow β tusonge pamoja!
Moja ya tabia nzuri zaidi unazopaswa kujifunza ni kujizoeza kutokuzungumza sana. Matatizo mengi na makosa mengi tunayofanya huanzia kwenye maneno yetu. Jifunze kunyamaza pale ambapo si lazima kuzungumza, maana si kila jambo linahitaji maoni yako.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini benki nyingi zinapenda kusubcontract huduma badala ya kujenga internal capacity?
Kwa mfano, badala ya kuajiri wafanyakazi wao wa usafi, zinahire kampuni maalumu kwa ajili ya cleaning services.
More: π
Njia rahisi na ya haraka kwa mwanaume kuharibu maisha yake ni kumtegemea mwanamke. Never put your trust in a woman, sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila mood swings zao zinaweza kukushangaza siku moja na kukuacha kwenye hali ambayo hukuitarajia.
Lengo la maisha sio kufurahia tu, bali kupitia changamoto pia, kwa sababu vyote viwili ndivyo vinavyofanya maisha yawe na ukamilifu. Haijalishi upo kwenye phase gani ya maisha kwa sasa, just win or lose with grace and dignity.
Kuna mtu aliniambia, βIli kutoka kwenye umaskini, lazima ukosane na mmoja kati ya hawa watatu, Mungu, serikali au wazazi.β How truthful is this?
Small Business Elevator retweeted
Kama fundi, epuka mambo haya:
- Kupenda lift kutoka kwa mteja hata kama mnaelekea njia moja.
- Kula chakula au kupokea zawadi yoyote kutoka kwa mteja.
- Kuzungumze masuala yako binafsi na mteja.
Husiano wako na mteja ubaki purely professional, hakuna zaidi, hakuna pungufu.
Small Business Elevator retweeted
Kwa nini Wakenya wanatumia conduit pipes nyeusi badala ya nyeupe au kuna technical requirements?
Small Business Elevator retweeted
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Small Business Elevator retweeted
Maisha hubadilika. Unapoteza upendo. Unapoteza marafiki. Unapoteza sehemu ya nafsi yako ambavyo hukuwahi kudhani vitatoweka. Halafu, bila hata kutambua, vipande hivyo hurudi. Upendo mpya huingia. Marafiki bora huja. Na toleo lako lililo imara na lenye hekima zaidi huja.
Ukijifunza zaidi, unakua zaidi.
Ukikua zaidi, unakuwa bora zaidi.
Ukikuwa bora zaidi, unapata kipato zaidi.
Kwa nini baadhi ya watu wana maisha rahisi hata kama hawaombi sana au hawaendi kanisani, wakati wengine wanaomba kila siku lakini hawaoni matokeo?
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe.
Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
Hakuna mtu aliyekua na ndoto ya kukua awe mfagiaji, keshia, mlinzi, dereva wa teksi, msafisha magari, mhudumu wa baa au mfanyakazi wa kawaida dukani.
Sote tulikuwa na ndoto kubwa. Lakini maisha yakabadilika. Heshimu kazi ya mtu.
Small Business Elevator retweeted
Huyu fundi alitaka kumlipua mteja na familia yake nzima. Hii bwana it goes beyond kutokujua!










