
Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
Joined November 2024
- Tweets3.5K
- Following59
- Followers13.1K
- Likes6.4K
Small Business Elevator retweeted
Kama fundi, epuka mambo haya:
- Kupenda lift kutoka kwa mteja hata kama mnaelekea njia moja.
- Kula chakula au kupokea zawadi yoyote kutoka kwa mteja.
- Kuzungumze masuala yako binafsi na mteja.
Husiano wako na mteja ubaki purely professional, hakuna zaidi, hakuna pungufu.
Small Business Elevator retweeted
Kwa nini Wakenya wanatumia conduit pipes nyeusi badala ya nyeupe au kuna technical requirements?
Small Business Elevator retweeted
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Small Business Elevator retweeted
Maisha hubadilika. Unapoteza upendo. Unapoteza marafiki. Unapoteza sehemu ya nafsi yako ambavyo hukuwahi kudhani vitatoweka. Halafu, bila hata kutambua, vipande hivyo hurudi. Upendo mpya huingia. Marafiki bora huja. Na toleo lako lililo imara na lenye hekima zaidi huja.
Small Business Elevator retweeted
Huyu fundi alitaka kumlipua mteja na familia yake nzima. Hii bwana it goes beyond kutokujua!
Small Business Elevator retweeted
Unaweza kuwa Unachotaka Kuwa โก
Hakuna aliyezaliwa akiwa fundi umeme bingwa ila kila fundi mahiri alianza na shauku, mazoezi, na kufanya kazi ngumu.
โข Anza kwa kutaka kujifunza. Kwa kuuliza maswali, kusoma michoro na kuelewa misingi ya umeme.
โ Thread:๐
Small Business Elevator retweeted
โข Inafuata viwango vya kitaalamu au professional standards kwa lugha ya kimombo. Project nyingi hutaka labeling kama sharti ili wakati wa ukaguzi ziweze kupita bila shida.
โข Inaokoa gharama. Unakuwa na downtimes ndogo kwenye system yako.
โ Soma Zaidi:๐
Small Business Elevator retweeted
Kwa nini tunapaswa kufanya labeling ya waya kwenye control panels.
โข Inarahisisha matengenezo. Fundi hutambua waya haraka bila kubahatisha na kupunguza muda wa kazi.
โ Thread:๐
Small Business Elevator retweeted
Gharama za matengenezo nazo pia hupungua.
Labeling si mapambo bali ni takwa la kitaalamu linalomtaka kila technician kulifata na hiii inaonyesha nidhamu ya kazi.
- Ni usalama
- Ni ufanisi.
Thank you; kama umependa andiko letu! Please, unaweza kutufollow sasa.
End.
Small Business Elevator retweeted
Kuna watu wanashindana nawewe kimya kimya bila wewe kujua na bado wanapoteza pambano, wamejaribu kufanya hivyo multiple times ni kwamba tuu haujui.
Small Business Elevator retweeted
Kenye hili usimtume mtu wala malaika hatoelewa; Uje mwenyewe ๐ญ๐ญ
Small Business Elevator retweeted
Pigania maisha unayotaka mwaka 2026.
Hakuna uvivu.
Hakuna kuahirisha mambo.
Maombi hufungua milango.
Kazi hukufanya kudumu kazini.
Dumisha nidhamu.
Dumisha njaa ya mafanikio.
Dumisha msimamo.
Pambana na chochote kinachosimama mbele ya njia yako.
Small Business Elevator retweeted
Jiweke mbali na marafiki wanaoona kama pesa zako ni za bia alafu za kwao ni za kufanyia mambo serious na kutatua matatizo ya familia.
Small Business Elevator retweeted
Kazi inapokukera hadi moyoni kiasi cha kutokujali kuhusu mshahara hata ukipungua, muda wa kuondoka umefika.
Ondoka.
- Anzisha biashara yako.
- Tafuta kazi nyingine.
- Badilisha taaluma kama inahitajika.
Usiruhusu sehemu au mmiliki wa sehemu kuchezea afya yako ya akili.
Small Business Elevator retweeted
Mwanamke akitaka kukuingiza kwenye vurugu, hukumbuka mambo mawili tu.
- Wema aliokutendea.
- Ubaya uliomtendea.
Hawakumbuki wema uliomtendea.
Hawakumbuki ubaya aliokutendea.
Yote husahaulika.
Small Business Elevator retweeted
Ukweli ulikuwa tofauti. No cash flow.
โข Kutojenga mfumo wa kufuatilia wateja.
Hakukuwa na follow up. Wateja wa zamani hawakurudi. Referral zilikosa msukumo.
โข Kujaribu kufanya kila kitu wenyewe.
Hakukuwa na delegation. Ubora ulipungua. Uchovu uliongezeka.
โ Soma Zaidi:โคต๏ธ









