
Here for fun💯 #MUFC Manchester United fan🌹
Joined January 2022
- Tweets19.7K
- Following5.9K
- Followers6.4K
- Likes21.1K
Veesmart2🌹 retweeted
19 days and Twaha Mwaipaya still remain unaccounted for. Where is Twaha Mwaipaya #FreeTwahaMwaipaya
Veesmart2🌹 retweeted
Please keep this on!
Thank you everyone for raising your voice for Twaha Mwaipaya!
#FreeTwahaMwaipaya
teapawt.net/i/trending/21211646727…
Veesmart2🌹 retweeted
Ikitokea suala la kuchangiwa, kwa yule jamaa aliyevuruga mali za Mchina, nipo tayari. Hii nchi Watu wa hali ya chini tunanyanyasika sana na Mabosi/Watu wenye nafasi.
Veesmart2🌹 retweeted
Tumeonewa na kufanyiwa ukatili mkubwa na viongozi wa CCM na serikali ya CCM kwa muda mrefu sana……..
It’s time for a new Tanzania to be born……..
Tupambane…..:::
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa
#JamiiForums #Utawala
Veesmart2🌹 retweeted
Kama nilivyowaambia a few weeks ago.
Wameanza kumpiga visu Heche na kuleta mgogoro ndani ya chama kama jinsi malipo ya Abdul na mama yake yanavyotaka wafanye.
Watanzania huu ni muda wa kusimama nyuma ya @HecheJohn na kumpigania kwa nguvu zote. Kumpigania Heche ni kumpigania Lissu.
Tukiruhusu hawa mbwa wa Abdul wakam demoralize Heche au wakammaliza basi movement ya kudai haki itafeli
Veesmart2🌹 retweeted
Leo ni siku ya 14 tangu DIKTETA JIKE amteke Twaha Mwaipaya mpaka sasa hatujui kapelekwa wapi.
#FreeTwahaMwaipaya


























