Leo wanapita na PA😁
Replying to @EsirEid
Hii kuna namna watu wamebadilisha kuwa mradi, mtaani huku kila junction kuna polisi, Migambo na askari magereza🙌
38
Hii leo kuna mahali imenisaidia
Ukienda kununua iphone used, kadiri iphone inavyokuwa na message chache ndo bei inakuwa Kubwa, na ukikuta Haina message kabisa Yani CLEAN bei yake utakuta inakaribiana na mpya ( FULL BOX).
Message mara nyingi huwa ni za kioo(Display), Battery & Camera. Kwa upande wa Battery kama imeandikwa service, maana yake ukinunua unatakiwa kubadilisha battery.
Na iphone kuwa na message haimaanishi ni fake au mbovu, inakuwa safi TU ndo maana ya refurb. Na ndo maana pia unaponunua unapewa warranty, ikitokea changamoto unasoviwa bila kuchangia gharama yoyote as long as ni software issues
Ili ujue iphone Yako Ina message au CLEAN, ingia Settings > General> About> Service & parts History.
Hapo utaona vitu Gani vimekuwa replaced hapo.
1
43
We mzee naomba hiyo hela @SportsarenatzTz
1
18
Penati zilikuwa mbili moja faulo aliyochezewa Kapombe nyingne mchezaji wa JKT kashika kwenye penati area @MtaturuSalumu @MrCalvinchuwa @DeusKazuzu na utopolo wenzenu mtachagua ipi ni halali na ipi sio halali😂
4
1
102
Replying to @MrCalvinchuwa
@MrCalvinchuwa mtaani kwenu hakupitiki🤣🤣
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kushughulikia Barabara ya Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini kwani ni changamoto kwa usafiri kutokana na uwepo wa Korongo kubwa lililotokana na mvua za msimu uliopita
Amedai kuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana aliwahi kutoa ahadi ya kuirekebisha barabara hiyo lakini hajaitimiza. Anaomba Mamlaka husika ishughulikie kero hiyo kabla mvua hazijaanza
Soma jamii.app/BarabaraKeroMwanza
#JamiiForums #JFHuduma #ServiceDelivery
1
6
It's International Day of the African child, it's a father's day but also it's my birthday, HAPPY BIRTHDAY TO ME🎂
Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary
1

























