Shekh Ponda Issa Ponda retweeted
Tume ya Rais ya Haki Jinai ione ukubwa wa tuhuma za ufisadi wa DPP mstaafu Jaji Biswalo.
Imshauri Rais atete na Jaji Mkuu ili amuondoe Mahakamani. Ni aibu kwa taifa kuwa na Jaji au kiongozi wa aina hii. Afunguliwe mashtaka, fedha zirudishwe Tanzania kwa wenyewe.
Shekh Ponda Issa Ponda retweeted
Hawa ni baadhi tu ya wazungumzaji wa leo kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Wananchi na Katiba yaani. Fuatilia sasa ukurasa wa @MariaSTsehai @WAKA_movement. #MariaSpaces
Shekh Ponda Issa Ponda retweeted
Viongozi wa TCD wakiongozwa na Mwny/ wa Kituo hicho Mh. Zitto Kabwe wametembelea Ofisi ya Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tz Sheikh Ponda kwa ajili ya kujitambulisha na kushauriana mambo kadhaa. Sheikh Ponda amewasisitiza umuhimu wa kushirikiana katika kurejesha Demokrasia nchini








