Siame g.k falsafa retweeted
Hii ndio maana ya public interest.
Bunge wanaangalia watu 61
Mahakama kesi ya Lissu watu 15,000.
Siame g.k falsafa retweeted
Madai haya hayawezi kuwa uhaini. Muachieni Lissu acheni kumtesa.
#FreeTunduLissuNow
#NoReformsNoElection
Siame g.k falsafa retweeted
Niliwahi kuwa na account ya Bank fulani, lakini sikuwa naweza kuihudumia, sina cha kudeposit wala kufanya transaction yoyote ile hadi account inakuwa dormant.
Nikataka kuipotezea kabisa niifunge niachane nayo.
Jamaa angu akanishauri usiifunge, pambana weka hata liten iwe tu active!
Huwezi jua kuna siku itakufaa utaihitaji sana!
Nikafanya hivyo!!
Kuna siku nikapigiwa simu na rafiki wa zamani akaniambia amepiga mshindo anashida na account ya bank aingiziwe hela humo!!
Ilikuwa ni 150M na akasema kama nina account basi mimi nitaokota 10% ya hiyo deposit.
Nikafanya hivyo nikavuta 15M shwaaa!!
Nikajisemea moyoni Asiefaa kafaa!
Mungu sio Hashim Rungwe!!😁
Hii Tweet Haihusiani Na Account Ya Bank
KAMA UMESOMA CUBA!!
Siame g.k falsafa retweeted
Nobody knows how to play with kids more than a man that wants to deceive a single mother..
Siame g.k falsafa retweeted
Nimesikia kauli ya Rais leo, kwa masikitiko makubwa niseme, Kuteka watu, kuua watu na kuwapa watu kesi za uongo sio mambo ya ndani ya Nchi.
Dunia hii haiwezi kunyamazia uovu na matendo ya kidhalimu, Dunia haikunyamazia uovu wa makaburu kule Afrika kusini. Dunia haitanyamaza dhidi ya mtu yeyote anaekiuka haki za binadamu.
Siame g.k falsafa retweeted
Kahama Asante, oparesheni #NoReformsNoElection imekua ya mafanikio. Tunawashukuru sana Watanzania.
Siame g.k falsafa retweeted
Oyaaaaaaa kina kufa au hakifi....?
Waswahili wanasema
"Usichome nyumba yenu kwa ugomvi wa kunyimwa chakula."
Siame g.k falsafa retweeted
Agustino Mrema alitu disappoint
Lipumba nae akatu disappoint
Zitto nae akatu disappoint
Mbowe nae akatu disappoint
Sasa tuna hakika Tundu Lissu tunaenda nae nchi ya AHADI🙏🏻
Siame g.k falsafa retweeted
PWANI IPO SALAMA...!
Leo, Mei 16, 2025, Katibu wa Kanda ya Pwani ameongoza kikao kazi maalum kilichowakutanisha Wenyeviti na Makatibu kutoka ngazi za Mikoa na Wilaya/Majimbo .
Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili na kupokea taarifa za maandalizi ya wanachama kuudhuria Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mh.Tundu Lissu.
Siame g.k falsafa retweeted
Nadhani ninahitaji kurudi shule kusoma Sheria. Hiki nikituko kingine cha mwaka 🤣🤣🤣 Sijacheka kwa furaha ninasikitika
Siame g.k falsafa retweeted
Crypto currency is inevitable.
Take time and learn
forms.gle/xsFZS3i2nmCrFGwX8
#Africacryptoschool
#BinanceAfrica
Crypto currency is inevitable.
Take time and learn
forms.gle/xsFZS3i2nmCrFGwX8
#Africacryptoschool
#BinanceAfrica
Siame g.k falsafa retweeted
👉Huyu jamaa anaweza kuwa ndiye Katibu Mkuu wa kwanza Tanzania mwenye umri mdogo na ambaye hajawahi kuyumbishwa na sarakasi za ndani ya Chama chake. Anaamini katika chama na si katika mtu.
👉Aliondoka slaa, Mashinji yeye yupo tu, wameondoka G55 yeye yupo tu, apewe maua yake
Siame g.k falsafa retweeted
Dua na sala zenu. Jana nimeanza safari ya siku 30 ya matibabu ya mfupa uliovunjika kitaalamu unaitwa "Right Medial malleolar Fracture", kwa kufungwa POP. Awali madaktari walitaka kunifunga nati kama inavyoonekana kwenye picha ya tatu hapo. Lakini nikashauriana nao wakasema POP inasadia japo huchelewa kuliko nati. Dua na sala zenu tafadhari.
Siame g.k falsafa retweeted
Hawa Wahaya na Wanyambo hawana nidhamu kabisa,
Hii tabia ya kumkalisha chini babu yao sio nzuri.😂😂😂😂




























