Madeleka anasema Zanzibar ni nchi na makosa yote ya jinai yana dhamana, hata mtu akiua anapata dhamana🤔
3
87
Yanga wamejificha kwenye kivuli cha ugogoro wa Simba
Mimi nauliza uwanja wa Yanga utajengwa lini?
4
236
#NiYeye retweeted
Sema Sammy Awami naye ana balaa tena zaidi ya Kikeke anajua namna ya kuuliza Maswali kimkakati huku akicheka!! Hii Interview ya TAL Katisha sana 🙌🙌😂
Huyu kuweni nae makini
DADA ZANGU @mangekimambi na @MariaSTsehai NINYI NI WATU MLIOTUTANGULIA KWENYE HIZI HARAKATI, WAZO LANGU DADA ZANGU MNAONAJE TUKAWA NA KAULI MOJA KUTOKA KWENU KUELEKEA KUKABILIANA NA AFCON!! NAAMINI TUKIWA NA KAULI MOJA KIPINDI TUNAPAMBANA NA HAWA WADHALIMU ITAKUWA NA NGUVU SANA KAMA WANAHARAKATI WA TANZANIA.
173
Kaka @YerickoNyerereT tuseme ungekuwa ndugu wa Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali, Polepole, Ben Sanane na wengine wengi unaowafahamu. Hawa vifo vyao vilichochewa na NANI? Ungetaka NANI afungwe au anyongwe?
Kwa kuwa nakupenda sana, usijiachie sana kwenye masuala haya.
#NiYeye retweeted
1. Kwa JK pesa ilipigwa, lakini walioipiga hawakuwa na showoff sana, na waliingiza mtaani kwa kiasi na ule mzunguko ukawafikia na wateule wachache.
2. Kwa Banza pesa ilipigwa zaidi kuliko kwa JK, tena ilipigwa kibabe mno, lakini na kikundi cha watu wachache tu. (Push Gang) and a few elites walionunuliwa ku~join the move!
Na hapo ndipo kukazaliwa tabia ya #Uchawa as a way ya kukutana na hizo pesa.
Lakini hawa hawakuileta pesa mtaani, walibaki na vibunda vyao majumbani na mtaani vyuma vikakaza kweli!!
3. Kwa 🧕 sio tu imepigwa pesa…NO!
Ni limemwagika BEGI, kwa lugha nyingine tunasema limeshuka kontena, wahuni tunaliita Teke la Van~Dame!!
Bag 💰 hili liko chini ya familia.
Hawa sasa wamekuja kitofauti kabisa, kwanza wana show-off, wana~spend mno kwa matumizi yao binafsi na sio uma….
And they don’t give an “F”
Yes, hawajali, hawaogopi.
Hawa formula yao ni….
You’ll only eat if you’re in their circle.
Ukiwa mtaani basi chain hii itakufikia kama tu uko kwenye circle yao na unaongea lugha yao.
Kinyume na hivyo wewe ni adui kwao,
hutakula na watakushambulia kama adui!
Kingine hawa wa sasa ni wakatili sana, as a way ya ku-secure bag lao.
#NB Ukatili huu waliurithi kutoka awamu ya Banza, lakini wao wameu-double.
Ndio tupo hapo sasa 2026!!!
Hatupendi, hatutaki na haikubaliki mpige pesa zetu.
Ndio maana tunawakemea!!
Lakini basi angalau mkishazipiga msizifanyie matumizi binafsi….zirudisheni mtaani mlisaidie taifa.
Fufueni na jengeni viwanda vipya then ajirini maHomeboy wangu walipeni vizuri wazalishe products, huku na wao wanafanya maisha.
Degree holders tupo nao kitaa asubuhi tunaendesha TukTuk 🏍️
jioni tuna~bet……….hii sio kweli maisha gani haya!!
Jengeni sports academies bora kila mkoa, kuzeni vipaji madogo wapungue mtaani wawe busy na wapate ajira.
Kuna mabinti hawapendi kudanga ni dhiki tu na kukosa fursa, wana ndoto, ni wamekosa tu pakuanzia!!
Jengeni masoko na mall za kisasa, wapeni vizimba na mitaji waanzishe biashara… wapeni nguvu za kujitafutia
Nunueni hata mabus basi special kwa wanafunzi tu, watoto wetu kuwapeleka shule bure, tuwaepushe na changamoto za usafiri, mtatupunguzia wazazi stress….
mbona inawezekana chap kwa tu!
Doing so👆mtapunguza sana kelele,lawama hasira na chuki mtaani.
And last but not least, msiteke,Msiue,Msifunge wasio na hatia….!!
#NiYeye retweeted
If you fail once, twice, three times, it doesn't matter. Learn from your mistakes and push forward to VICTORY-the sweetest feeling there is!
#NiYeye retweeted
CCM walitaka kukutumia kutangazwa katiba mpya ya uongo tukaondoka ~Mhe. Tundu Lissu
#NiYeye retweeted
We are deeply sorry for the disruption this incident has caused our customers and partners. We know the trust they place in our services and take that responsibility extremely seriously. We are seeing broad recovery and stability across our services.
This was a technical issue not related to cyber or AI / agents. The incident was introduced by an issue during an earlier network capacity upgrade that surfaced following a recent network change. We have addressed the underlying issue and continue to restore service to remaining customers and regions.
Given the scale of demand, we restored services gradually, validating stability at each stage. While this took longer, it helped ensure a stable restoration.
We will provide a full post-incident report once our review is complete.
#NiYeye retweeted
Uchambuzi wa kukera sio kashfa wala uchochezi.
Ishu sio mishahara ishu ni public nuisance
Siku hizi watu hawakosoi tena wana kashfu
Sidhani kama wanafanya hivyo kwa sababu ya mishahara midogo.
Ni bora kuendelea kukosa weledi kwa kigezo cha malipo Michael?
Michael Lesen ya Ukocha inahitaji milion mia ngapi??
Mashabiki watatoa maoni kama mashabiki lakini mtu anapoitwa mchambuzi basi tunapaswa kuregulate sekta hiyo
Wewe una elimu ya Digital?,
Hujacheza mpira daraja lolote la juu, hujasomea elimu yoyote ya michezo, huna leseni ya Ukocha, uhalali wako wa kuchambua mpira unautoa wapi? Unawezaje kuwa mchambuzi unayechambua mbinu na hujawahi kusomea au kutumia hizo mbinu? Wachambuzi warudi Darasani. TFF iweke utaratibu, kama huna uzoefu wa soka au elimu basi usiwe Mchambuzi”
Mwandishi Nguli, Enock Bwigane
1
110


















