SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv) header
SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv) profile picture

Smart Channel Hutoa taarifa za Habari |Siasa |Uchumi |Kijamii |Michezo |Burudani na Uchambuzi.📲0716663881

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2019
Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)
A New Chapter Begins with Explore Larosa 24 September 2026, Johari Rotana, Dar es Salaam, kulifanyika Official Launch ya Explore Larosa @explorelarosa, ikiwakutanisha wadau wa teknolojia, wasanii, wafanyabiashara, vijana na wadau mbalimbali. Chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu,
1
320
Mr. Dwight Danda, Explore Larosa inalenga kuwaunganisha watumiaji na huduma, biashara, maeneo, matukio na fursa mbalimbali kwa urahisi zaidi. Inapatikana kwenye Android na iOS — Explore Larosa ni zaidi ya app; ni jukwaa la kugundua zaidi, kuunganishwa zaidi na kupata fursa zaid
1
13
i.Bonyeza linki hapo chini kupakua application onelink.to/32redy Explore Larosa — Explore More. Live More.
9
MAONESHO MAKUBWA ZAIDI YA KILIMO AFRIKA: LANGO LAKO KWENYE SEKTA INAYOKUA YA KILIMO, MIFUGO NA CHAKULA TANZANIA 2–3 Septemba 2026 | Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair, Dar es Salaam, Tanzania
1
588
bei ya mafuta na maandamano ya wananchi.
1
50
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei 19, 2026, kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Pichani Jenerali Mkunda akisalimiana na viongozi m
1
1
2
283
balimbali wa Wizara hiyo wakiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho
39
Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Ulinzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, ambapo leo Mei 19, 2026, makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yatawasilishwa na Waziri wake Mhe. Dkt. Rhimo Nyans
1
1
74
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. *Dkt. Rhimo Nyansaho, (Mb)* amewasilisha hati za randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026 /2027.
2
611
Mbunge wa jimbo la Hai saashisha mafuwe ameuliza swali bungeni kwenda kwa naibu waziri kutaka kufahamu serikali imefikia wapi kuanzisha kongani ya viwanda eneo la kilimanjaro Mashine tulizipa pamoja na mji wa kibiashara njia panda ya machame
1
1
234
oe amesisitiza. Sanjari na hilo, Prof. amemtaka mkandarasi huyo kununua bidhaa za ujenzi zinazopatikana wilayani Lushoto ili kuongeza mzunguko wa fedha kwa wakazi wa wilaya hiyo ya Lushoto. Pia, Prof. Shemdoe amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kuhak
110
ujenzi wake utawapatia kipato vijana watakaopewa kazi kwenye ujenzi wa jengo hilo. “Mkandarasi ninakuomba huku nikikuelekeza kwamba, kazi zote ambazo hazihitaji expert wapewe vijana wetu wa hapa Lushoto ili tuweze kutengeneza ajira kwa vijana wetu wa hapa Lushoto,” Prof. Shemd
42
u wa Mahakama, Prof. Elisante Ole Gabriel, viongozi wa mkoa na wilaya, watumishi wa Mahakama na wananchi wa Lushoto. Prof. Shemdoe amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 4.272 kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama hiyo ambapo
68
ikisha anavikopesha fedha vikundi vya akina mama kupitia mikopo ya asilimia 10, ili vijishughulishe na biashara ya kuwauzia chakula vijana watakaoajiriwa kwenye mradi huo wa Ujenzi wa Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Lushoto.
29
zo hazihitaji utaalam ili kutengeneza ajira zitakazowapatia kipato ambacho kitainua uchumi wao. Prof. Shemdoe ametoa maelekezo hayo leo Disemba 31, 2025 wilayani Lushoto, wakati wa hafla ya kupokea eneo la Ujenzi wa Mahakama ya Wilaya ya Lushoto iliyohudhuriwa na Mtendaji Mku
36
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Tuzo 3 za Utalii za “WORLD TRAVEL AWARDS” ambazo Tanzania imeshinda, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar
1
2
4
305
Kurasa za mbele na nyuma kwa magazeti pendwa ya Wamachinga na Mwanahabari leo Jumatatu Januari 05, 2026
73
Kurasa za mbele na nyuma kwa magazeti pendwa ya Wamachinga na Mwanahabari leo Jumamosi Januari 03, 2026
1
70
Kurasa za mbele na nyuma kwa magazeti pendwa ya Wamachinga na Mwanahabari leo Ijumaa Januari 02, 2026
1
100