SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv) header
SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv) profile picture

Smart Channel Hutoa taarifa za Habari |Siasa |Uchumi |Kijamii |Michezo |Burudani na Uchambuzi.📲0716663881

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2019
Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)Photo by SmartChannel_Tv (@SmartChannel_Tv)
SmartChannel_Tv retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
1
4
294
SmartChannel_Tv retweeted
"Mzee Msuya alikuwa ni muumini wa kujenga umoja na mshikamano, na ameacha sifa hiyo kwa kiasi kikubwa hapa wilayani Mwanga. Ni jambo ambalo Mzee Msuya aliwajengea watu wake" Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia
1
84
SmartChannel_Tv retweeted
"Kupitia hadithi ya Mzee Msuya, viongozi wa sasa tunapaswa kujifunza, funzo la kwanza ni tuwe wapenda maendeleo na kutoacha kusimamia kile tunachokiamini bila kuyumbishwa na chochote, la pili ni kufanya kazi kwa uzalendo,
1
1
97
SmartChannel_Tv retweeted
"Tutaendelea kumuenzi Mzee Cleopa David Msuya na tutaendelea kutumia busarana ushauri wake pamoja na ushauri wazee wetu wengine katika kuijenga nchi yetu" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
1
1
77
Ntarudia tena, sema mnacheka mnadhani ni mzaha; hili sanamu lilichongwa kiustadi sana, kwa karibu hivi ni Baba wa Taifa mtupu, na kuna picha za angle nyingine unamuona Baba wa Taifa mtupu, nyingine zinakataana mbali! – at Dar es Salaam, Tanzania
Replying to @HKigwangalla
Kigwa hapo kwny sanamu Nyerere ana komwe alaf kwny picha ana nyele😂😂
57
7
3
140
SmartChannel_Tv retweeted
Nani anataka tumfollow?? Shusha handle tukufollow🖐🖐
28
11
35
Hii inaitwa mwana ukome kutoka kwa Nungunungu Master. Jumapili unakosaje sasa kuja kuona magoli ya makali. #NguvuMoja
26
108
4
1,476
Unalikumbuka hili goli? Ilikuwaje? #NguvuMoja
63
95
2
2,791
"Wageni wetu Primeiro de Agosto watawasili nchini Oktoba 14 majira ya mchana, kwa wale ambao wangependa kwenda kuwapokea wanakaribishwa uwanja wa ndege. Waamuzi wanatokea Afrika Kusini na watawasili nchini siku hiyo hiyo yaOktoba 14."- @ahmed__ally #NguvuMoja
63
143
6
2,943
Wa hapa hapa 🇹🇿 alafu wanaoijua vizuri kazi yao 💪 Jumapili wataongoza kikosi chetu kwenda kuandika historia mpya kwa klabu na taifa. Hakikisha unakuwepo uwanjani. #NguvuMoja
56
128
4
2,708
Unaikumbuka ile ya nani alisema Simba haiendi hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutoka kwa Baraka Mpenja? Hapo tukiwa tayari tumefuzu makundi 🤩 Amefanya mahojiano na Simba Digital kuhusu mchezo ule dhidi ya Nkana FC. (1) #NguvuMoja
52
235
13
2,390
Unaikumbuka ile ya nani alisema Simba haiendi hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutoka kwa Baraka Mpenja? Hapo tukiwa tayari tumefuzu makundi 🤩 Amefanya mahojiano na Simba Digital kuhusu mchezo ule dhidi ya Nkana FC. (2) #NguvuMoja
9
86
5
1,056
Vest za Mnyama sasa zipo madukani pita madukani VunjaBei ujipatie kwa 35,000 tu.
31
102
4
2,182
Chama la wana SIMBA SPORTS CLUB 🦁🙌 #NguvuMoja
66
221
5
5,031
Is not over, Sunday we will make you happy again 😍 #NguvuMoja
1
9
Hakuna ndoto inayotimizwa bila kuwa na changamoto basi zikubali changamoto ili uweze kutimiza ndoto zako.
3
8
46
SmartChannel_Tv retweeted
Maji machafu hayazuii mmea kukua, bali huupa mmea kila kirutubisho kinachostahili ✊
15
19
1
209
SmartChannel_Tv retweeted
Njooo tupate followers wengi sana 🇹🇿
29
25
2
77
SmartChannel_Tv retweeted
Maisha ya Chuo Kikuu ni Magumu kama unategemewa kusomesha Wadogo zako. Mungu atusaidie saana 😭🙏🏿
7
19
190
SmartChannel_Tv retweeted
Kitu gani huwakinakujia akilini ukiona mtu amekutafuta normal text na watsApp kwa pamoja.. 😂?
34
38
469