Mturutumbi (@Strikar_0) header
Mturutumbi (@Strikar_0) profile picture
🌎Earth
Joined July 2021
Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)Photo by Mturutumbi (@Strikar_0)
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
432
41
1,843
87,448
ALIWAHI KUSEMA MH: BWEGE
3
129
1
796
19,103
HAKUNA MTU ANAWEZA FICHA UKWELI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA, huu ni ukweli , tunatakiwa ishi ukweli
2
73
1
235
4,028
Mturutumbi retweeted
👇
23
130
3
627
23,728
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
66
1,204
15
3,791
73,899
Majaji, kwa uamuzi huu mmejivua heshima, mmeondoa kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na kuifedhehesha nchi yetu! Dhamiri zenu ziko wapi? Kiapo chenu kina thamani gani? Namshukuru Mungu sina undugu na yeyote kati yenu. Kila mmoja wenu abebe aibu na uwajibikaji wa uamuzi wake. Vyeo vitapita, majoho yatavuliwa, lakini fedheha ya uamuzi huu itawafuata katika historia!
33
251
4
768
16,484
Mturutumbi retweeted
TAL alikataa siasa sa utapeli from then.
3
129
2
584
12,121
Another powerful message from Tundu Lissu. The TZ Judiciary is also on Trial.
10
330
6
726
22,780
Mturutumbi retweeted
The Sakharov Prize should go to Tundu Lissu! @ReinholdLopatka @lukasmandl @davidmcallister
57
391
16
1,022
24,150
🚨TAARIFA Mwanangu @Thereal_taivina kaibiwa Simu yake maeneo ya BUGURUNI na VISHANDU. Wamekuwa wakitumia watu jumbe za KUOMBA PESA. Naomba usitume pesa yeyote kama ukitafutwa kwa namba ya Taivina. REPOST 200.
51
Mturutumbi retweeted
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:* “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for" Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa. Namalziia kwa neno moja: waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini msiogope kuniachia huru. You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza” Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
62
481
21
1,473
62,828
Slogan ya Dudu baya YBWYB "linda Mgongo wako hali ni mbaya" inazidi kwenda international imefika hadi Sweden 🇸🇪 🤔
11
77
4
698
26,287
Kuna kitu Cha kujifunza Kwa mpambanaji mwezetu aliyepata ajali akavunjika uti wa mgongo kwa sasa yupo kitandani 💔 Mwenyezi amjarie apone Halaka aludi kwenye majukumu yake 🙏
18
41
3
269
17,692
Mturutumbi retweeted
Habari marafiki zangu, Gari yangu ( Nissan, Xtrail, nyeusi, T370DVV) inayoonekana kwenye picha imeibwa usiku wa kuamkia leo (tarehe 18 Septemba 2026), jijini Dodoma. Tafadhali, naomba ukiiona tuwasiliane🙏🏾 kupitia namba hii: 0712026506
22
95
5
170
65,460
Mturutumbi retweeted
“Kingai alikuja na hasira, amesema hajawai kuwa rafiki yangu yeye ni adui yangu….”-; Mhe. Lissu. REPOST 200
16
229
3
1,309
35,924
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 18, 2026 Last time tuliishia part 431 so leo tunaendelea na -; Part 432. Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana. Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao. Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea. Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea. Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema “Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia” Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu. Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa. Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia. Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi. Ni hayo tu waheshimiwa majaji. Naomba Repost yako.
53
433
8
1,275
67,729
Mturutumbi retweeted
Kila siku watu wanaouliza maswali magumu wanaongezeka kwenye nchi. MUNGU AMLINDE HUYU BABA AISHI MIAKA MINGI. REPOST 500
28
438
9
1,528
27,399
Taja Bei haraka haraka tumalize biashara ila bei iwe elekezi
198
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi bbc.in/2gK9KNb #TunduLissu #Tanzania
27
243
30
608