Pinned Tweet
A year ago, on the 26/10 I ran the marathon and dedicated it to praying for a better Tanzania as we were approaching election season.This year, I dedicated my run to all the victims of the massacre that happened on 29/10 to TL and to everyone who has been abducted and tortured🇹🇿
Kaka,
Mkishafanikiwa kuigawa CHADEMA kama mnavyofanya sasa ndipo mtajua kumbe mnaisaidia CCM.
Mwanaharakati wa KWELI huwa hana CHAMA hata kama chama hicho kina misimamo mizuri kiasi. Tunatakiwa kui-support CHADEMA kwa mema yote inayosimamia. Ninyi mnaingia hadi kwenye NDOA yao.
Lema ni mhuni wa muda mrefu. Leo amejiweka wazi sana. Kwanza, kuna watu wamekimbia nchi, hawajasema wako wapi; leo ameibuka na kusema walipo
Lema yeye yuko sawa na Mafwele, Wambura na Mfumo, wanamtengenezea mpaka vikao na Mufti (BAKWATA ni mfumo sehemu ya CCM, misimamo yako uwa ni CCM) , halafu hapo hapo anasema yeye kuwa uwanjani ni ujasiri na Maria kuwa uwanjani sio ujasiri.
Kwa nini Mufti, Wambura na Mafwele hawana mazungumzo na wengine ila wana mazungumzo na yeye?
Kwamba leo Lema analaumu watu wanaowindwa na rafiki zake na kuwaita waoga, kama Pambalu amerudi na kufanyiwa hayo aliyofanyiwa, Lema anategemea kwamba Maria atapewa maandazi na Mafwele?
Siku ya Msiba wa Mzee Sarungi, siku zote msiba ulipofanyika, TISS na Polisi walituma undercover pale msibani kumtafuta Maria kwa nguvu sana. Walisumbua sana familia na wengine wakapenya penya kila sehemu. Kwa nini Lema anataka Maria ajitoe kwa Mafwele kama sadaka sababu ya Msiba ? kwamba Mafwele angemkamata Maria hapo Msibani mzee Sarungi angefufuka ? CCM walipiga sana hii kampeni ya kumtaka @MariaSTsehai afike pale msiba, ambapo Leo ndio tunajua kumbe limekuwa suala la lema pia , maana kulizungumza leo lilikuwa na maana gani? sio suala la hivi karibuni
Je, issue ya Ujasiri ni kuongea na Mafwele, Abdul na Wambura? Kwamba Lema anamshauri Maria afanye ushirika na WATESAJI ili awe salama kuishi salama uwanjani?
Kusema kwamba unaweza kuishi kwa busara uwanjani, mbona wamekataa kumwachia Lissu? Maana kila mtu anayetafutwa na Mfumo ana uzito tofauti. Namna Mfumo unavyomtafuta Maria, hawajafanya hivyo hata nusu kwa Lema. Hakuna nyakati zozote hivi karibuni Mfumo umemsaka Lema; ungemsaka hata yeye asingekuwa uwanjani. Huwezi kusema mtu ni mwoga, na hapo hapo unasema umehamisha familia, wamekuwa Wakanada.
I’m not saying Lema is right ila mbona mnaamini fully what Maria and Dada wa taifa’s sources are saying while they have also proved to be wrong in some cases
I’m so happy for this baby, she has a bright future ahead of her. Big ups to the chanzo team who managed to cover this story ❤️
Hizi apartments za wazungu zitaniua. Mbona vitoto vinakuamsha na kengele kisa trick or treat nikawaambia sina sweets wakaniambia they will be back at six 🤣. Acha niamke nikawataftie watoto sweets
Dee. retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
Dee. retweeted
Majina 659 ya waliofariki 29 Oktoba, 2025.
Kama mtu unayemfahamu hayupo, muongeze hapo chini.
Dee. retweeted
High Court orders Police IG Kanja, DCI boss Amin and Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaiyapa, dead or alive, in court on Monday, November 2, and present the arrest warrant.
Dee. retweeted
Iringa, vijana wa kiume kwa kike zaidi ya 100 walikamatwa, wakafungiwa kwenye hall, wakavuliwa nguo, wakafanyiwa ukatili wa kingono, wakapigwa mabomu ya machozi huku milango imefungwa.
Siwezi kufikiri waliteseka kiasi gani na wangapi walikufa.
We demand justice. 29/10💔
Dee. retweeted
The Pan African Solidarity Network in partnership with the Social Justice Travelling Theatre of Kenya have today held a Vigil at Mustard Seed, Dandora, Nairobi, Kenya in solidarity with the people of Tanzania. #FreeAllPoliticalPrisoners #SamiaMustGo #PASNet
Hakuna watu jokers kama hii gava yetu imagine a foreign country showing more empathy to us than our own govt. Yaani hata bare minimum hawataki kutupa aise 😂
Hakuna watu selfish na wasio na utu kama viongozi wa hii nchi, it’s one thing order killings of innocent civilians but not acting remorseful and na kuendelea na maisha as if nothing ever happened is another level of evil that I can’t even comprehend
Dee. retweeted
A year after Tanzania's bloody election, many remain traumatised by the violence, while government critics live in fear of abduction and arbitrary arrest, or facing treason and terrorism charges.
standardmedia.co.ke/africa/a…
Dee. retweeted
It’s the Tanzania authorities that massacred hundreds of Tanzanians they should be holding themselves accountable!
Tanzanian authorities have not held anyone to account for the post-election violence security forces inflicted on protesters, which left hundreds of people dead.
bit.ly/4BuBoW9
Dee. retweeted
PADRE ALIMKUTA MTOTO ANALIA KWENYE GRADUATION YA FORM 4 KWA SABABU MAMA NA BABA YAKE WALIUAWA ILE OKTOBA 29
Dee. retweeted
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi.
Zaidi jamii.app/RmbrncOctDths
#JamiiForums



























