Tanzanite (@Tanzaiite) header
Tanzanite (@Tanzaiite) profile picture

Firm pursuit of justice 🇹🇿 Advancing universal human rights through transparency, systemic accountability & dignity."🌱No one is too small to make change 🕊️

Joined May 2026
Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)
mother’s love knows no bounds, and neither does her grief. For a year now, the family of Humphrey Polepole has endured "untold sorrow," looking for the truth behind his violent disappearance from Dar es Salaam. No family should have to carry this heavy burden of silence. As a widow who sacrificed everything to raise her children alone, Annamary Polepole never imagined facing a reality where her children would be taken. A year after Humphrey’s abduction, his family continues to search for peace, closure, and basic human dignity. 🕊️🌿#freehpolepole@ipu @hrw @UNGeneva @UPRinfo @SenTedCruz @SenatorShaheen @commonwealthsec @EUparliament @EPPGroup @ecrgroup @WHO @ilo
27
1
74
2,201
46
91
1
592
19,609
Samia anadai aliwa Watanzania 500 tu, Ila angalia video ya kwanza, hii scene pekee maiti ni 5. 😭😭 Video ya pili, walikuwa wanawapiga watu risasi za vichwa, yani walitaka kuhakikisha wanaua sio kujeruhi tu.
8
62
1
192
8,614
Video ya kwanza, unaona wananchi wawili walipigwa risasi wakiwa wanajiona wanakufa. Video ya pili huyo wa pili akiwa amekata roho…. Huu ndio unyama uliofanyika Tanzania October 29-Nov 2 na chama cha Mapinduzi….
30
145
1
459
20,291
Zingatia maneno, ‘wameamua kuingia mtaani kutufata tulipo’. Waliua sio kuzuia maandano ila ilimradi waue ili wananchi wawaogope na wasirudie tena kupigania haki ili wao na wafimilia zao waweze kuinyonya nchi bila mtu yoyote kupinga.
1
47
159
7,474
6
57
2
213
14,961
On the first anniversary of Tanzania’s sham elections, the brutal repression of political opposition and continued arbitrary detention of our client @TunduALissu expose the authorities’ contempt for their own people. The Commonwealth can no longer stand by. It must take decisive action against Tanzania’s government.
13
132
4
309
4,786
Kesi imefunguliwa wiki hii Imepangiwa Jaji Wiki hii Imesikilizwa pande zote mbili wiki hii Uamuzi umetoka wiki hii Utekelezaji unapaswa kuanza wiki hii Mkiambiwa wenzenu wamewazidi mnaanza kulalamika! Mahakama zenu zinaweza kutoa haki kwa wakati? #FreeTwahaMwaipaya
61
332
13
1,039
28,756
“Samahani sauti iligoma” Vile watu wengine walikodoa macho hapo wanasema kimoyomoyo “please God! Iwe leo!” Yaani damu za watu zinanena!!
37
81
7
695
61,394
Hapa hata wamtoe nani kafara hawatoboi!!!@USAmbTanzania @hrw @ICC @usembassytz @UN @tedcruz @SenTedCruz @SenWarren
6
1
10
419
Naingia kulala naomba niwaache na hii clip….. 1. Zingatia “Huyo mtu wa kati aliekuwa anafanya huo uratibu ”. Yani dalali. Kelele zote alizopiga kwa Zitto, na yeye kaishia kufanya kile kile. 2. Zingatia alipewa nauli na gharama za huko Dar, Sasa connect dots na issue ya sea cliff. I think mpaka sasa nchi nzima inajua huyo “Mtu wa kati” ni Godbless Lema. Kuna siku hii familia itamtaja kwa jina….. Nna swali, Chadema kama chama walitoa ahadi na msimamo kwa wananchi kuwa hawatopiga magoti kwa wauwaji, sasa imebainika kuwa mmoja wao anafanya kazi na wauwaji na alijaribu kuishawishi familia ya Lissu ikapige magoti kwa wauwaji, hatua gani zitachukuliwa??? Pia wananchi inabidi wampige marufuku Lema kutaja jina la Lissu kuanzia Leo. Anatumia mateso ya Lissu kuhalalisha usaliti wake. Lissu kasema hadharani, hataki huruma anataka haki, Lema why anafosi kufanya kitu Lissu amekikataa? Yeye ndio anampenda sana Lissu kuliko sisi?? Wasaliti waache kumtumia Lissu kwenye ushetani wao. Moja ya somo tulilopata kwenye hili sakata, dada yenu siwezi kuongea vitu sensitive au kuongea jambo la kumchafua mtu bila kuwa na uhakika wa 100%. Imagine inteview zote zilizofanywa ili nionekane muongo kwa wananchi na Lema aonekane sio msaliti ila leo Mungu kawaonyesha Watanzania dada yao waliemwamini miaka yote hajabadilika.
72
264
10
1,595
143,187
Wataalamu wa UN Walaani Kutokuwepo kwa Haki kwa Waathiriwa wa Ghasia Tanzania Wataalamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kutotolewa kwa ripoti kamili ya Tume ya Uchunguzi wa ghasia zilizotokea Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, mwaka mmoja baada ya matukio hayo. Wamesema mamia ya waathiriwa wa mauaji, kupotezwa kwa lazima, kukamatwa kiholela na mateso bado hawajapata haki, huku hakuna maafisa wa serikali walioshtakiwa kuhusiana na ghasia hizo. Wataalamu hao wameitaka serikali ya Tanzania kuchapisha ripoti hiyo bila kuchelewa, pamoja na kufanya uchunguzi huru na wa haki ili kuhakikisha waathiriwa wanapata ukweli, haki na fidia. Aidha, wameeleza wasiwasi kuhusu madai ya kuendelea kwa ukandamizaji dhidi ya waandishi wa habari, wanaharakati na wapinzani wa kisiasa. Kauli hiyo pia imegusia hali ya kiongozi wa upinzani, Tundu Antipas Lissu, ambaye amekuwa rumande tangu Aprili 2025 akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, huku akitarajia hukumu ya mahakama Novemba 6, 2026.
1
9
29
671
Msiwe na Hofu Mungu anajibu, amewaonyesha ishara ila wamekuwa na shingo ngumu, lakini ishara zote zipo ameshawaonyesha wamefanywa kuwa na shindo ngumu ili wafutwe wote #Mo29
2
39
1
216
6,752
TUTASHINDA
4
9
63
1,352
Tanzanite retweeted
Marking one year since the bloodbath and massacre of the Tanzanian people following the 29th October 2025 general elections. The government of @SuluhuSamia unleashee terror and killed thousands of Tanzanians whose only mistake was to call for justice and free elections.
10
95
4
240
5,008
Ukiskia mtu anasema nchi inaongozwa na ma zero brains 🧠
5
35
792
Human Rights Defenders from Kenya have today held a vigil, standing in solidarity with the people of Tanzania as they demand justice for Tanzanians killed on the 29th of October 2025 by Samia's killer militia. #FreeAllPoliticalPrisoners #PASNet #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
5
77
4
189
4,982
The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has condemned the alleged abduction of Tanzanian political activist Twaha Salim Mwaipaya in Machakos County on October 25, saying his disappearance raises concerns about the safety of dissidents and refugees in Kenya. standardmedia.co.ke/crime-an…
21
40
2,937
Tanzanite retweeted
Leo ndo siku ya kupigia mstari kuwa hatuna serekali,au tuna serekali haramu. Balozi mbali mbali nchini Tanzania na high commission zinaomboleza mpaka kushusha bendera nusu mlingoti Ila serekali haijulikani ilipo!!😢
2
17
1
101
1,723
Leo ndo siku ya kupigia mstari kuwa hatuna serekali,au tuna serekali haramu. Balozi mbali mbali nchini Tanzania na high commission zinaomboleza mpaka kushusha bendera nusu mlingoti Ila serekali haijulikani ilipo!!😢
2
17
1
101
1,723