TeddyⓂ️ (@Teddymushyy) header
TeddyⓂ️ (@Teddymushyy) profile picture

Mungu kwanza||Isaya 41:10|| #yangasc

Home
Joined June 2020
Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)
TeddyⓂ️ retweeted
Alafu unaweza kufikiria huyo mpenzi wako ana kiburi na unapanga kuachana nae kumbe husiano lenu linatikiswa na watu mda mwingine nendeni kanisani/msikitini mliombee wabaya ni wengi..💔💔🥲 Good morning wahenga...😮‍💨🫂
20
27
38
660
TeddyⓂ️ retweeted
Mpanda ngazi hushuka! Good morning
8
30
47
1,271
Jumatatu hii ikukute na nguvu mpya, matumaini mapya na sababu mpya ya kusonga mbele. Usijali sana kuhusu ulipo leo; muhimu ni kwamba bado una nafasi ya kubadilisha kesho yako. Endelea kuamini, kufanya kazi na kumtegemea Mungu. Leo iwe mwanzo wa jambo kubwa. In God We Trust🙏🔥 Good morning✊
6
11
21
624
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰𝐃𝐀𝐘 🆚 Fountain Gate 🗓 31 Agosti 2026 ⏱️ Saa 10:00 Jioni 🏟 Sheikh Amri Abeid 🏆 #NBCPremierLeague #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
8
28
2
412
12,122
Alikuwa mwaminifu jana, ni mwaminifu leo, na ataendelea kuwa mwaminifu kesho. 🙏🏽❤️ Happy Birthday to me! 🎂🥳 Mungu, asante kwa kila jambo. Mwaka huu mpya uwe wa neema, baraka na ushuhuda. ✨❤️”
1
1
6
133
Good morning 🌞
2
38
💰 BEI ZETU: Fresh - 👉 Nusu Lita (0.5 L) = Tsh 1,200 - 👉 Lita 1 = Tsh 2,500 Mtindi - Nusu Lita = Tsh 1000 - Lita 1 = Tsh 25,00 📞 Piga simu / WhatsApp: 0618 262 331 📍 Ipagala Merriwa, Dodoma Ubora ni kipaumbele chetu!
49
Good morning
24
26
48
1,452
Jumanji
Kama mahusiano yako yangekuwa ni movie...ingekuwa movie gani..?😅
1
28
⚠️Kuna Yale Maongezi wanayo kuongelea Ukiwa Haupo kiukweli Unge sikia kwa Masikio Yako Ungeacha kuwaita Watu Marafiki zako📌
12
73
2,066
🙏🏿🙏🏿
13
197
6
935
13,788
Hellow..naomba rt, 🥹 Nimewaletea school bags za kindergarten mpaka form four Tsh 12,000-20,000 Ni ngumu mno, & zipu imara 0755693113 📍Mabibo hostel, delivery ipo, Mikoa yote natuma
1
39
1
33
8,928
Nakula kwanza hapa nishibe na kuoga nipendeze ili nionekane vizuri CNN na BBC
1
37
TeddyⓂ️ retweeted
Ukitaka kujipata kimaisha,jitoe kwenye mipango ya watu!!🗝️
15
119
1
530
10,911
TeddyⓂ️ retweeted
Usiogope, kwa maana Mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana Mimi ndimi Mungu wako. Nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia; nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki Yangu.” — Isaya 41:10
4
65
363
8,134
Jitume kwa bidii kiasi kwamba kesho yako iguse malengo yako ya leo.
8
26
118
2,469
Mike Chivala ni moja pia ya vijana ambao wamebakishwa ndani na niffer tuendelee kuwapazia Sauti #FreeMike
38
623
14
2,239
120,925
ROYAL SECRET FACE CREAM NA SERUM 💫Inatoa weusi na madoa sugu yaliyoshindikana usoni 💫Inalainisha ngozi na kukupa ile glowing skin 💫Ina ng’arisha vizuri sana ,wale wa zima moto hii set inawafaa Serum : 35,000 Face cream :40,000 ☎️0785125400 📍Kariakoo,Dsm 🚚uhakika.
1
5
4
240