TeddyⓂ️ (@Teddymushyy) header
TeddyⓂ️ (@Teddymushyy) profile picture

Mungu kwanza||Isaya 41:10|| #yangasc

Home
Joined June 2020
Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)Photo by TeddyⓂ️ (@Teddymushyy)
TeddyⓂ️ retweeted
Alafu unaweza kufikiria huyo mpenzi wako ana kiburi na unapanga kuachana nae kumbe husiano lenu linatikiswa na watu mda mwingine nendeni kanisani/msikitini mliombee wabaya ni wengi..💔💔🥲 Good morning wahenga...😮‍💨🫂
20
27
38
660
TeddyⓂ️ retweeted
Mpanda ngazi hushuka! Good morning
8
30
47
1,271
Jumatatu hii ikukute na nguvu mpya, matumaini mapya na sababu mpya ya kusonga mbele. Usijali sana kuhusu ulipo leo; muhimu ni kwamba bado una nafasi ya kubadilisha kesho yako. Endelea kuamini, kufanya kazi na kumtegemea Mungu. Leo iwe mwanzo wa jambo kubwa. In God We Trust🙏🔥 Good morning✊
6
11
21
624
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰𝐃𝐀𝐘 🆚 Fountain Gate 🗓 31 Agosti 2026 ⏱️ Saa 10:00 Jioni 🏟 Sheikh Amri Abeid 🏆 #NBCPremierLeague #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
8
28
2
412
12,122
Good morning
24
26
48
1,452
⚠️Kuna Yale Maongezi wanayo kuongelea Ukiwa Haupo kiukweli Unge sikia kwa Masikio Yako Ungeacha kuwaita Watu Marafiki zako📌
12
73
2,066
🙏🏿🙏🏿
13
197
6
935
13,788
Hellow..naomba rt, 🥹 Nimewaletea school bags za kindergarten mpaka form four Tsh 12,000-20,000 Ni ngumu mno, & zipu imara 0755693113 📍Mabibo hostel, delivery ipo, Mikoa yote natuma
1
39
1
33
8,928
TeddyⓂ️ retweeted
Ukitaka kujipata kimaisha,jitoe kwenye mipango ya watu!!🗝️
15
119
1
530
10,911
TeddyⓂ️ retweeted
Usiogope, kwa maana Mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana Mimi ndimi Mungu wako. Nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia; nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki Yangu.” — Isaya 41:10
4
65
363
8,134
Jitume kwa bidii kiasi kwamba kesho yako iguse malengo yako ya leo.
8
26
118
2,469
Mike Chivala ni moja pia ya vijana ambao wamebakishwa ndani na niffer tuendelee kuwapazia Sauti #FreeMike
38
623
14
2,239
120,925
ROYAL SECRET FACE CREAM NA SERUM 💫Inatoa weusi na madoa sugu yaliyoshindikana usoni 💫Inalainisha ngozi na kukupa ile glowing skin 💫Ina ng’arisha vizuri sana ,wale wa zima moto hii set inawafaa Serum : 35,000 Face cream :40,000 ☎️0785125400 📍Kariakoo,Dsm 🚚uhakika.
1
5
4
240
USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE USINYWE POMBE
26
18
3
148
9,239
Tanzania tried to suppress this story from getting out. But we’re telling it to the world on TV and online
674
8,069
609
18,035
789,814
Bro Mfundishe mke wako majukumu (Kwa vitendo) kuna kesho hautokuwepo atawajibika kwa 100% kuwalinda wanao bila hofu wala uoga wowote.
5
12
2
45
1,561
TeddyⓂ️ retweeted
Impex washing machines twins tub kg 7 (inafua na kukamua) 390000 0717274856 Inakufikia popote pale ulipo.
5
30
40
2,549
ACNE AND SPOTS CONTROL CREAM 💧Ni cream kiboko sana kwa ajili ya kuondoa chunusi zilizoshindikana 💧Inasaidia kuondoa Madoa 💧Inasaidia kubalance Mafuta usoni 💧wenye Ngozi za Mafuta sana hii sio ya kukosa 💧Inafanya Ngozi kuwa Soft 💧Ina Anti Aging Bei 40,000 📞0785125400
4
4
164
This is an appeal to Tanzanians. Please tell me what you saw. My inbox is open. Tafadhali nisaidieni
446
6,106
162
17,534
750,728