inmotion (@TzThroughMyLens) header
inmotion (@TzThroughMyLens) profile picture

Cooperate events | Sport & Fitness | Fitnes

Tanzania
Joined April 2024
Fashion Festival 2026
25
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili GURU @GillsaInt kuwa atafundisha-- MBINU ZA KUUZA UJUZI NA TALANTA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII. Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi. #MonetizeYourTalent #GrowYourCareer
15
51
4
237
12,981
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili @JustTherapies (GEORGE CHACHA), Mtaalamu wa maswala ya Afya ya Akili na Makamu wa Rais wa chama cha TAPA kuwa atafundisha-- MAMBO YA KUFANYA NA KUZINGATIA ILI KULINDA AFYA YA AKILI Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi. #MonetizeYourTalent #GrowYourCareer
5
24
3
110
7,631
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili Mtaalam wetu @Millambo_ Mhadhiri wa Chuo KIKUU Cha Dar es Salaam founder wa Swahili Quest atafundisha-- NAMNA YA KUTENGENEZA CONTENTS ZITAKAZOWEZA KUUZA KIPAJI CHAKO AU CAREER YAKO. Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi. #MonetizeYourTalent #GrowYourCareer
3
24
2
116
6,604
And Last Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili @sajo_mwaihabi, MD wa EB DIGITAL TECH, Founder wa RECHARGE YOUR MINDSET movement. Ambaye pia ni BUSINESS CONSULTANT & MARKETING STRATEGIST. ambaye atafundisha-- NAMNA YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO NA KUKIPA THAMANI ILI KIWE AJIRA RASMI Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi. #MonetizeYourTalent #GrowYourCareer
1
31
3
111
4,596
Shukrani. Na shukrani kwa wote waliohusika.
Brother 🫡 Respect Kwako sana
75
Imepatikana 50,000/=
Replying to @TzThroughMyLens
PART 3 Binafsi nilikua na kidogo cha kumuongezea, ila naamini kwa umoja wetu humu ndani, naamini tunaweza pata 50,000. @spana_Konki @inframe_tz
1
56
Hellooooow. Zimepita siku nyingi kutokana na changamoto za hapa na pale. LEO TUNAFANIKISHA. Ni kwa ajili ya kumuongezea Bibi mtaji wake kwa kile alichokua anahitaji. ASANTENI SANA WADAU, MUNGU AZIDI KUWABARIKI. Imepatika 50,000/= Nitazidi wajulisha.
Hii ni Vlog yangu ya kwanza kama STREET PHOTOGRAPHER. Nilikutana na Bibi Visheti, nikampiga picha, hivyo nimemletea zawadi yake ya hard copy. Matamanio yake katika biashara yake ni kuongeza bidhaa, gharama kama 25,000. Tunaweza msaidia hata 50,000 !? Tuchange hata 200 200 tu.
2
2
3
373
Karibu Morogoro!
4
11
3
44
3,480
Naaam,Note 13 Pro+
2
6
7
243
Karibu SUA
6
9
1
31
1,497
Uko sahihi 🤔
This post is from an account that no longer exists. Learn more
37
Zaidi ya 60
This post is from an account that no longer exists. Learn more
28
inmotion retweeted
Leo kuna watu hawalali. Wameushusha Mbuyu, sasa wajuba watapiga wapi mambo yao.?
Leo chuma imeanguka: Gharama ni zaidi ya M5, matambiko na kuwachukua magwiji walioshindikana. Wote walikua wamevua mashati, bhange 😁 mixer Mifupa ya bwana yule. HATIMAE SHUGHULI IMEISHAA #StreetStories
1
1
172