Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule) header
Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule) profile picture

Eng | Football | Enterpreneuer | Hip-Hop 🎡

Joined April 2019
Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)Photo by Zizzou 27🏁 (@ZizzouSule)
Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia β€œDogo utaweza kweli?” πŸ˜‚πŸ‘‡
119
90
8
1,336
120,063
His passion for the game never fades @Geoffrey87Lea
Ψ¬Ω†ΩˆΩˆΩ† في Ψ§Ψ­ΨͺΩΨ§Ω„ΩŠΨ© اسبي ΩˆΩ…ΩˆΨ±ΩŠΩ†Ω‡Ωˆ يعطي ΨͺΨΉΩ„ΩŠΩ…Ψ§Ψͺ Ψ΅Ψ§Ψ±Ω…Ψ© Ω„Ω…Ψ¨Ψ§Ψ¨ΩŠ
112
Gym imekubali mikwara imekua shazi JEMSI @Sativa255 πŸ˜‚
Aliyekwambia kila mtu anataka vita za maneno mtandaoni nani? Kumbe ulitaka iishie mtandaoni??? Na wewe lazima nikuzabe kakate RB saizi ya kutishiwa ila ntakuzaba kweli kama huamini wait tuonane.
86
Haha cholo kampitia UNJU vipi verse za MATUPA MTU PORI unazionaje?
"TAHADHARI BRO POMBE KALI NICAS UTAUWA FIGO" HAHAH CHOLO BRIGHTER HUYO KWENYE TUKUSA 4iii. Cholo kavu sana ye mwenyewe Anakula Sk anakumuona Bro wake ata ua Figo kwa maana kwamba Sk haina noma Oi Ngoma kwenye bio ya Black Ninja.
1
137
Replying to @pastajoshuatz
@pastajoshuatz umetudhulumu mabiti yule dogo anapiga mabati anatamba. Skiliza skonya Hilo 🫡
Cheki michano kumhusu Mzee wa Busara. Kutoka kwa rapper noma sana wa kuitwa Tostao. Hii beat noma sana amenyonga mwanetu @pastajoshuatz HIPHOPπŸ”₯🎢
1
1
1
198
Kina Fermin Martin Epspart Olomi govi wamekua wabovu ghafla πŸ˜‚
What happened to Lamasia?? Si nmeskia wachezaj kama Nico mnazalisha hapo Best academy. Saiv mnataka product ya Castilla haha.
128
Usenge mtupu. Waongee hukohuko mafichoni. Sisi hayatuhusu. Kila mtu Ana ya kwake! Hakuna maisha ya huruma hapa.
Gigy money na mama yake kuna nini? Kinacho endelea mbona wanarushiana maneno makali huko mtandaoni.πŸ˜­πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ But anyway kuna haja ya kumuongelea mama yako maneno makali hata kama kakukosea.?
1
1
1
429
Ngolowanje zilikua nyingi kabla ya gemu. Kila kitu bora nyinyi. Saizi plaudi, plaudi si mbao ya kujengea? πŸ˜‚πŸ«΅
We are proud of you, guys.
1
136
DEMU wangu hapendi hela wala six packs, ananipenda mimi nlivyo msela kwenye mziki right? Midondoko ya Ghetto Ambassador huwa ya moto sana πŸ”₯ HIPHOP 🎢
1
2
296
Mnarudi wapi? Man U yangu dah.
We are BACK this week.
1
121
Mtangazaji madoido yake sijayaelewa @AyoubChakah
Hawa watangazaji wa siku hizi bhanaπŸ˜‚, 20% kanyooka Sana MkubwaπŸ™ŒπŸΎ
2
1
251
Mkwaju wa kamari kutoka kwa mwanangu JEMSI @Thereal_taivina Upo hewani kwenye digito platform zote. Fuata moto huu kwenye link hii youtu.be/BSKPqkq0SLU?si=OYj8… mjini YouTube kupata hii Betting Soundtrack πŸ”₯
2
3
40
3,744
Brazameni @Sativa255 hawezi kusikiliza hizi sikuhizi eti amelegeza nae anamskiza Zuchu
Kesho 0900AM I Ft. Moni X DULLY.
1
1
3
539
Eti pedeshee anaskia sikuizi mapenzi pesa, Honga gari sasa utamkuta bitozi analiendesha. Na ukikosa kabisa utachekesha utawaita Shem chips utatumwa na utapeleka
Binti unanitosa mimi simu inakuvua nguo hii bars ya Boshoo sikumbuki ilikuwa kwenye ngoma gani mwenye kujua anijuze.
1
1
162
One gani alikua Lunduno? πŸ˜‚
2010’s ulikuwa wakati mzuri sana kwa Lunduno, jamaa walifanya hadi mademu wakawa wanapenda hiphop. Nikki Mbishi, Stereon na Uno. S/O kwa Duke na Brother Patrick🫑
1
97
Bendera ina damu sijui ulicheki mkuu? Ukiona tunapigana ujue ni chenchi tu. Hata mwana wa maskani unaempenda na kumjali, anageuka Mnyama when the rent is due. Nafurahi kuwa shabiki wa @dizastavina @DzstaFan_Page10. Ntafurahi kuwa mmoja wa wataonunua EP hii kwa pesa yangu cash.
5
21
1
123
3,911
Halafu huyu bwege @Sativa255 alikua anakomalia tumchukue kiungo aliyeshusha daraja timu mbili mfululizo kwa 85m
Carrick: so we progress against pressure with bounce passes and third-man patterns. Baleba: fuck that.
154
Ma-bro au wazazi wetu ndo walifeli hapa. Mpelekeni kwenye bolu.
Nimeshindwana na Dogo bhana eti anataka kuwa mcheza mpira. Hii voicenote yake hadi naona aibu kuskiliza kmmmk dogo ana mapepo huyu ngoja nimuibukie huko huko green.
147
Playlist ya Hiphop leo! 1. Nikki Mbishi-Nakumbuka Zamani 2. Dj Yusuph-Mbele kwa mbele 3. Songa-Mwanga 4. Boshoo-nilipotoka 5. Cado-40 bars 6. One-Mlimbwende 7. Stereo-Miss Chinese 8. Gentriez-Chapaa 9. Nyandu-kwa mafans 10.Nash Mc-vita We ya kwako ni ipi_____?
2
1
5
385
Usinipime utavunja huo mzani, nisikilize kwa makini….ka mwalimu mgeni, baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi….mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani? @MwanaFA baada ya miaka minne bila kutoa wimbo. Aged like fine wine! Mmoja ya watunzi mahiri sana!
2
3
15
1,168