
MuSician | Song Writer | BUMBULI🇹🇿 For Bookings: [email protected] cc [email protected]
Tanzania
Joined February 2022
- Tweets77
- Following15
- Followers264
- Likes8
Kusah retweeted
If you’re still single this Valentine, I updated this song just for you.
Be encouraged, this too shall pass. Sending lots of love to y’all single people ahead of #ValentinesDay tomorrow 🤗
Kusah retweeted
"Jina langu ni Salmin Ismail Hoza ni mtoto wa Tanga wilaya ya Lushoto."- @_Kusah_
#SalamaNaKusah #YST
Kusah retweeted
"Katika kukua kwangu nilikuwa nikiona harakati za mama yangu kutafuta kipato alikuwa akiuza kuni na gongo ambayo gongo hairuhusiwi kisheria hivyo nilikuwa nikiona maaskari pale nyumbani nachukua dumu lile nakimbia nalo kulificha."- @_Kusah_
#SalamaNaKusah #YST
Kusah retweeted
"Nimesoma kijijini kuanzia shule ya msingi mpaka form four na nilipokuwa form two nilikuwa nalima shambani na kuendesha bodaboda nikitoka shule, napakia abiria napata mzigo wangu maisha yanaenda."- @_Kusah_
#SalamaNaKusah #YST
Kusah retweeted
"Nilianza muziki katika umri mdogo, nilikuwa napandishwa majukwaani nafanya performance kwenye campaign za ccm na niliwahi kuandika wimbo wa shule na shule nzima wakauimba."- @_Kusah_
#SalamaNaKusah #YST
Kusah retweeted
Safari ya @_Kusah_ ni ya kufurahisha na kusisimua. Pata mzigo mzima wa #SalamaNaKusah sasa ndani ya podcasts zote kupitia link hii anchor.fm/yahstonetown/episo…
ENJOY!
#YahStoneTown #SalamaNa #YST
Kusah retweeted
“Nimepitia matatizo ambayo kuongea labda niongee na viongozi wa juu maana ni mateso mazito ambayo siwezi ongea kwenye mtandao. Ni kitu ambacho hata nikienda polisi napigiwa kuambiwa kuwa sitosaidiwa.”- @MalkiaroseM
#SalamaNaRoseMuhando #YST
Kusah retweeted
Listen to my brother, 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 He killed it trust me!!
👇🏾👇🏾👇🏾
m.youtube.com/playlist?list=…
Kusah retweeted
Kwenye nafasi ya 8-11 Ladies & Gentlemen hawa ndiyo wakali wa wiki hii kwenye #BongoFlavaTop20 kwa nguvu ya #CocaColaTanzania
08. Dayoo - Waah
09. @officialnandy ft @oxladeofficial - Napona
10. @dogojanjatz ft @_Kusah_ - Mr Kuweza
Kusah retweeted
Definition of a HIT. It is not always about how fast it gets to the top but its ability to maintain top position.
Kusah retweeted
Update - Femi One (@Femi_One ) featured in @_Kusah_'s latest EP titled ROMANTIC. The song title is JIMWAGE.
Fact Zone - Kusah 🇹🇿 is known for his track "I Wish," which topped multiple Kenyan charts and became one of the country's most popular songs
boomplay.com/songs/101477892…
Kusah retweeted
Kama ni ndumba
Baby umenifanya Kama punda
Mzigo ninabeba na nadunda
Naenjoy 😊 @_Kusah_
youtu.be/pmzCDYIfwd4 – at Dar es Salaam, Tanzania
Kusah retweeted
Thank you for 100,000 streams on boomplay @BoomplayMusicT 🔥🔥🔥…New ROMANTIC EP by @_Kusah_ is now available on your boomplay app
let’s keep streaming and enjoying good music 🔥
boomplay.com/share/album/546… – at Dar es Salaam, Tanzania
Kusah retweeted
it’s a love affair with @_Kusah_ on his ‘Romantic’ EP. it features guest appearances from @Johnnydrille and @Femi_One. 🧡
LISTEN now on Audiomack: amack.it/Romantic
#keepthebeatgoing🪘
#RomanticEP 🔥🔥❤️❤️
it’s a love affair with @_Kusah_ on his ‘Romantic’ EP. it features guest appearances from @Johnnydrille and @Femi_One. 🧡
LISTEN now on Audiomack: amack.it/Romantic
#keepthebeatgoing🪘
6
Kusah retweeted
Usiku wa leo ni usiku wa kukutanisha na #CoachEvarist kama bado hujawahi kukutana nae kwenye maisha yako. Mwalimu ndani na nje ya Basketball court. Story ya maisha yake na ya wale alowafunza.
Ni Alhamis ya leo saa tatu kamili usiku ndani ya #maishamagicpoa on @DStv_Tz
#YST
It was pressure to Have you my sister @femi_one and my brother @Johnnydrille on my EP. Pre Save NOW bfan.link/romanticByKusah

























