kamdudu (@_kamdudu) header
kamdudu (@_kamdudu) profile picture

Mtoto wa mwenzio muone kama Mtoto wako ila Mama yake sio Mke wako

Usan, Scotland
Joined December 2014
Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)
msione Wababa wanakula ma house girl vitu vingine viko nje ya uwezo wao
89
246
26
1,109
587,262
why do some men identify as gay?
1
1
3,644
definition of rest in peace
3
3,578
Nchi ya Thailand na Myanmar zakumbwa na janga kubwa la tetemeko la ardhi mapema leo na kuacha athari kubwa ya miundo mbinu katika maeneo ya Bangkok na baadhi ya maeneo ya karibu zaidi na mji huo . — Mji wa Bangkok umeharibika katika baadhi ya maeneo kwa kiasi kikubwa baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi ambalo limefikia ukubwa wa 7.7 Magnitude . — Chanzo cha matetemeko mengi zaidi duniani hutokea au chanzo chake huanzia ndani ya tumbo la ardhi ambapo tectonic plates huwa na mienendo tofauti baina yao ambapo matokeo yake hupelekea misuguano mikubwa na mitikisiko mikubwa hupelekea kutingisha na kuchana chana tabaka la juu la ardhi (Earth Crust) . — Nchi mbalimbali zimekuwa zikitafuta njia ya kupambana na majanga haya ambapo mojawapo ya njia ni kuwekeza zaidi katika anga kwa kuunda vifaa vyenye uwezo mkubwa kama (satellite) ambapo kazi yake kubwa zitakuwa ni kubaini ishara za awali zinazopelekea kutokea kwa majanga mabaya kama haya . — Tafiti zinasema kuwa kama itatokea siku tetemeko la ardhi likapiga kwa nguvu kubwa ya kufikia 12 Magnitude basi tabaka la juu la dunia (Earth Crust) litachanika vipande vipande na huo pengine ndio utakuwa mwisho wa dunia yetu .
10,462
never forgive and never let someone into your life again who took your heart and broke it into pieces 😢
1
1
4
10,417
He who lives trusting dies betrayed
4
8,670
Sometimes we have everything we need to go up, but our mouth gets in the way.
6,850
my very beautiful journey today ❤️
1
2
5,887
today the world don’t want burka anymore. tell me if you have your Sister,your Mother or any Female relative of yours, wich way you’ll choose ? A. or B
2
3
6,188
Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa kitu hapa ndio maana wanatakiwa waende VETA😀
3
3
3,853
most Females don't answer video calls after 9pm because their face has been restored to factory settings.... but why ???
1
1
3,316
When a relationship is not working but the Family is involved 😁
1
2,943
sema mnaokula huyu mnyama ni wachafu sana nyinyi 🙌😁
3
2
5
2,525
Every time I leave a hotel, I always leave this for the Housekeepers😂
1
1
1,956
Watu weusi tuna safari ndefu sana 🙌
2
4
2,338
"Everyone asks you to hold on, but no one knows how much you suffer."
1
2,650
VOCHA ya mwanamke hutumika kwa Mtu au Mwanaume anayempenda pekee liweke akilini. Ukiona Mwanamke analalamika kuhusu salio lake kaka kila anapoongea na wewe jiongeze. Mwanamke akiwa na Mwanaume ampendaye hutamani kuongea naye kwa kupiga sio kubipu. Mwanamke akikupenda atakupigia Kaka ✍️…
1
1,810
You're a man. Kill the nice guy inside you. Minimize your kindness. This generation has no memory. Become ruthless or get crushed ✍️…
9
5
12
14,134
JINSI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA [MPOX] Mpox au [Monkeypox] haina tiba maalum, lakini mara nyingi, hujiponya yenyewe. Maana yake ni kwamba watu wengi "hupona" bila matibabu ya hospitali. Hata hivyo, dawa za kuua virusi kama Tecovirimat [TPOXX], zinaweza kutumika katika kesi kali au kwa watu wenye Kinga Dhaifu mno! Tiba Asili za Kusaidia Mpox.
11
6
12
4,265
4. Kudhibiti Homa na Maumivu: • Chai ya Mdalasini na Karafuu • Tangawizi na Asali.
1
1
2,308
5. Kupumzika na Kupunguza Msongo: • Kulala vya Kutosha • Kupata Miale ya Jua [VitaminiD]. Tuendelee kuchukua tahadhari, na kuyazingatia maelekezo ya Wataalamu wetu. "Kinga ni Bora"!
1
2,130