kamdudu (@_kamdudu) header
kamdudu (@_kamdudu) profile picture

Mtoto wa mwenzio muone kama Mtoto wako ila Mama yake sio Mke wako

Usan, Scotland
Joined December 2014
Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)Photo by kamdudu (@_kamdudu)
Kwenye mahusiano kipi ni muhimu zaidi: 1. Pesa 2. Upendo 3. Heshima 4. Au show show tu. πŸ˜€πŸƒβ€β™‚οΈ
11
7
15
1,512
Ni kosa kubwa sana kukumbuka Mazuri ya ex wako, utamrudia!!
16
11
1
31
3,407
πŸ’£ MTOTO WA OSAMA BIN LADEN✈️ Wengi wangelitegemea mtoto wa Osama bin Laden awe kwenye njia ya baba yake, lakini Omar bin Laden amechagua maisha tofauti kabisa. Badala ya kuendeleza urithi wa giza wa familia yake, Omar ni msanii na mwandishi, akiishi Ufaransa ambako kazi zake za sanaa zinafanya Vizuri kwenye maonyesho makubwa. Akiwa mtoto wa nne wa Osama, alikulia kwenye mazingira ya itikadi kali, lakini alikataa kufuata mkondo huo. Aliamua kujitenga na historia ya babake, na sasa anatumia michoro yake kuonyesha safari yake ya kujitafuta, amani, na maisha mapya. Kupitia sanaa na maandishi yake, Omar amethibitisha kuwa "hatima ya mtu haifungwi na jina lakeβ€”kila mtu anaweza kuandika historia yake mwenyewe".
22
12
18
2,168
GHETTO THREADS 😊πŸ”₯ Let have it
30
14
65
13,366
Baadhi ya wachezaji 5 waliowahi kuwa tishio kwenye kuziamua mechi za derby ya kariakoo Simba vs Yanga. Uzi πŸ§΅πŸ‘‡πŸΎ Kabla ya kuendelea Je!! unahisi ni mchezaji gani ataenda kuamua mechi ya tarehe 8 Yanga vs Simba?
45
44
898
119,949
🚨 AHMED ARAJIGA mwamuzi wa mchezo wa Derby ya Kariakoo. Je! Unahisi ataendana na kasi na tension ya mchezo!?
26
23
101
4,072
Leave a bro to bro message
20
7
18
1,301