mjuba_ retweeted
Only 1K Repost It’s enough to tell the world that Tanzania is not safe. Police brutality is increasing day by day because of the election, and the president @SuluhuSamia remains silent.
mjuba_ retweeted
#freemdudenyagali 😭
Usipite bila ku Repost tujitaidi 😭
mjuba_ retweeted
KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.
SOMA BARUA HIYO.
REPOST 400✅️✅️✅️✅️
#NoReformsNoElection
#TUTAKUWEPO🫵😎
mjuba_ retweeted
BREAKING NEWS,
Chaapaaa REPOST 1000 FREEMAN MBOWE THE PRISEDNT AJAYE NO FEAR (2025) Nitakupa kura nyangu baba ✌️🙏
mjuba_ retweeted
Mbwana Kombo
Dioniz Kipanya
Deusdedith Soka
Jacob Godwin Mlai
Frank Mbise
Chaula
Nani Anafwata Kutekwa? Mimi? Wewe? Yule?
Tupaze Sauti Hamna Aliye Salama
mjuba_ retweeted
Kijana mwenzetu ametekwa ajulikani alipo naomba tushikane kupaza sauti Tena Kama tulivyo pambane Kwa wengine 😭
Jitaidi hata ku REPOST
mjuba_ retweeted
Mliambiwa mnasajili wazee mkakataa oneni sasa wamekuwa wengi wamewafungulia kesi mahakamani😂😂
mjuba_ retweeted
Wanangu wa BACK BENCHA tukutane kesho kweny EID mana wanetu mnatuchanganya hatuelewi Eid ni leo ama ni KESHO.
Kama ww unaona ni kidgo basi RT kuna mtu kule anatamani apate hata VOCHA ya JERO 🙏🏿
mjuba_ retweeted
Haya watu 50 tena wa ku quote retweet chap wapate mention
Kuwahi kwako ndio kupata kwako😍
mjuba_ retweeted
Kwanini umpige ngumi raia hadi kuzimia raia aliyejitokeza kutaka kuligusa gari lililombeba mpendwa wake? Ni uthibitisho kwamba msiba wa Edward Lowassa umetekwa na serikali na CCM. Wananchi hawana uhalali nao. Gari hilo la jeshi katika msiba wa Nyerere na hata Magufuli lilikuwa linaguswa na wananchi.
mjuba_ retweeted
⏳:dak 37'
Kaambaaaaaaaaaaaaaaaaaaa⚽
Najim Maguluuuuuuuuu
LEO DJ NANIIIIIIII PIGA GOMA LA ZUCHU HANIIIIIIIIII🎶
Bonge la bao hapa linafungwa
Azam FC 1-1 JKT Tanzania 🇹🇿




























