mjuba_ (@_mjuba) header
mjuba_ (@_mjuba) profile picture

born to Hustle

Moshi Kilimanjaro
Joined February 2018
Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)Photo by mjuba_ (@_mjuba)
Nasikia kelele hukoo wanalia.......kwani vp
16
5
17
Swali moja tu: Ungechagua kuwa tajiri kimya kimya au maarufu bila pesa? 😂🔥 – at Mwanza, Tanzania
203
La Falme za kiarabu minanda
7
Unakunywa pombe ili umsahau unajikuta umempigia...
1
8
Maisha hayahitaji kuwa rahisi ili uwe na furaha, yanahitaji moyo wa kushukuru
12
mabingwa. Lakini bado kila kitu kiko wazi: • Zamalek SC wanachukua ubingwa wakitoa sare au kushinda • Pyramids FC wanakuwa mabingwa wakishinda dhidi ya Smouha SC huku Zamalek wakipoteza
1
29
Al Ahly SC wanachukua ubingwa wakishinda dhidi ya Al Masry SC, Zamalek wakipoteza, na Pyramids wakitoa sare Na kinachofanya iwe tamu zaidi — mechi zote tatu zinaanza muda mmoja. ⏳🔥 Kila goli linaweza kubadili msimamo wa ubingwa hapohapo. Tarehe 20 Mei kutakuwa na vurugu
1
32
Valentine Day ulikosa maua, Eid umekosa Abaya binti una laana au
1
32
Leo ni Machi 1. Haya ni baadhi ya matukio muhimu ya kihistoria yaliyotokea siku kama ya leo duniani: 🌍 1896 – Vita vya Adwa Battle of Adwa ilipiganwa kati ya Dola ya Ethiopia chini ya Menelik II na majeshi ya Italy. Ethiopia ilishinda vita hii,
1
41
na kuwa moja ya nchi chache za Afrika zilizofanikiwa kupinga ukoloni wa Ulaya wakati huo. 🇺🇸 1872 – Hifadhi ya Taifa ya Yellowstone yaanzishwa Yellowstone National Park ilianzishwa rasmi na Rais Ulysses S. Grant, na kuwa hifadhi ya kwanza ya taifa duniani.
26
Yale maji yaliyochemshwa na kufanya kiazi kigumu kuwa laini hayo hayo maji huwa yanafanya yai laini kuwa gumu.... ✍️✍️
1
14
Unaona kabisa umeletwa usiku ili watu wasikuone halafu wewe unaamka asubuhi unafagia uwanja😂
25
Vita ya maua na zawadi za valentine ilishaisha vita iliyo njiani ni ya abaya la kuswalia Eid
1
19
Chakula cha masimango na dharau huwa kinauma kuliko njaa yenyewe..
1
8
Morocco wamenifanya niwaamini wahenga Leo kweli mcheza kwao hutunzwa @kapeto98
1
2
127
Kila siku ni fursa mpya ya kujenga maisha unayotamani, usikate tamaa."
7
Ibra kapasuka vibaya mno halafu majaji mnasema sare mnaukosea usingizi wetu
2
18
Ninaomba #Repost_500
29
1,315
2
3,592
58,978
Refa tuma namba tukupe muamala🤣🤣 @kapeto98
1
2
53
Wamejichanganya hahaha 🤣
1
26
Only 1K Repost It’s enough to tell the world that Tanzania is not safe. Police brutality is increasing day by day because of the election, and the president @SuluhuSamia remains silent.
3
956
4
1,657
52,438