normal saline retweeted
Replying to @MarekaMalili
Ah kuna kipindi nilianzaga gym maza akanitoa mchezoni, aliniuliza tu swali unataka utupige humu ndani? Nikajua tu hii ni hapana ya kikubwa
normal saline retweeted
Readers added context they thought people might want to know
What a funny meme! I really liked it. Anyways, say it with me! This post contains an undisclosed advertisement for Stake, which is a gambling site. Advertising gambling sites is against the Terms of Service of X.
business.x.com/en/help/ads-po…
normal saline retweeted
“Ngono imekuwa rahisi sana kupata, wanaume wa sasa wanajipenda na kujithamini kuliko wanawake” Khan Mbarouk
Yuko sahihi?
HUBA HURU
youtu.be/5xi_y2kjB3w?si=38mf…
normal saline retweeted
Replying to @association_mat @wizara_afyatz @muhimbiliuniver @MuhimbiliOrtho1 @ElishaOsati @MwaibambeS @DJN_2025 @mugishankoronko @Kudu_ze_Kudu @tamsatanzania
Ndugu kiongozi ajaye ukipata nafasi, tafadhali usikose kuishauri MCT watoe leseni zinazosomeka! Hii ya sasa ukiipiga copy inakuwa giza tupu na wametuuzia 150,000/=.
Zamani nilikua nakaa karibu na wadau waliokua twitter kunipa madini au kuuliza mada muhimu zinazojadiliwa huko hii ilinifanya kufungua account yangu ,ila sasa siku hizi Twitter(X)kama imepoa hivi au mnaonaje nyie @rollymsouth @daktarimtalii @CarolNdosi @Eric__Bernard
1
104
Shabiki wa man u tunawakumbusha mechi yenu ni alhamis(Futuhi), leo tulieni muone chelsea inacheza UEFA
@X_mzozo @Neypaul01
1
5
















