Orril (@orril96) profile picture
Joined November 2018
Photo by Orril (@orril96)Photo by Orril (@orril96)
Nimekaa saa 1 na dakika 40 ndani ya @BANKOFAFRICA_TZ Dodoma bila kupata huduma yoyote.Suala la western union edit transfer siyo jambo geni, lakini teller wenu anaonekana kutokuwa tayari kunihudumia badala yake ananitishia "WU hawarekebishi majina,wewe kaa tulia au njoo baadaye"
1
33
Teller anatumia kigezo cha majina kukosewa kama sababu ya kunichelewesha/kuniadhibu. Je kwa nini western union waliweka kipengele cha edit transfer kama mtoa huduma wenu hataki kuitumia? Au Bank of Africa ndiyo utaratibu wenu wa kila siku mimi naona ni mpya kwangu @
28
Congrats to the high school Class of 2020, as well as to the teachers, coaches, and most of all, parents and family who’ve guided you along the way. Thanks for letting me be part of your big day!
18,942
78,455
18,265
412,111
“America is not prepared and nurses are not being protected.” US nurse quits over lack of personal protective equipment in the fight against #COVID19.
226
2,054
346
2,834
Dunia ina takribani watu bilioni 7, je watu hawa wanafanya shughuli zipi? Tazama pichataarifa hii hapa chini.
3
29
3
117
Kibongo ingekuwaje
New Zealand parliament's speaker looks after an MPs baby while he gives a speech
Fellow Africans
28
209
23
347
Zantel #Msakotime
Kuna yule rafiki lazima aombe umuunganishe na hotspot! Mjuze kua kila ikifika saa 9 alasiri hadi 10 jioni ni #MsakoTime. Afanye kujiunga na kifurushi cha internet cha siku wiki au mwezi, ili aperuzi BUREEEE kwa saa moja kila siku na MSAKO TIME. Kujiunga piga *149*15#
1
9
Umuhimu wa kushiriki siasa na maamuzi. Siasa ni maisha yetu.kuna jambo la muhimu kujifunza hapa...
11
39
2
210
😂😂
This Post is from a suspended account. Learn more
TAARIFA MUHIMU: Hili tukio katika hii clip limetokea Tarehe 19.04.2019(Ijumaa Kuu) Levolosi, mkoani Arusha. MAT tunalifuatilia kwa ukaribu swala hili ili kujua undani wake. We will act accordingly—Dr Elisha Osati, MAT President. @buguzi @MedicoPressTZ @ElishaOsati @sikika1
178
143
37
648
Amesema mkweli mwenye kusema; 'Rajab ni mwezi wa Mwenyezi Mungu, Sha'aban ni mwezi wangu na Ramadhan ni mwezi wa ummah wangu.' Hivyo Sha'ban ni mwezi wa wingi wa swala na salamu juu ya Mtume. Kila siku nitafasiri swalawati moja kati ya alizokuwa akisoma Sheikh Abdul-Qadir Jailani
1
26
1
117
Upinzani nchini #Benin umeitisha maandamano baada ya tume ya uchaguzi kuvizuia vyama 5 vya kushiriki katika uchaguzi wa wabunge Aprili 28, 2019. Baada ya kuingia madarakani 2016, Rais Patrice Talon alipandisha ada ya kugombea urais kutoka TZS milioni 58 hadi TZS bilioni 1.04.
10
17
5
89
Katika taifa linaloheshimu na kudumisha misingi ya demokrasia, nguvu inayotumika kuzuia wananchi dhidi ya haki yao ya kujumuika na kujieleza ingetumika katika kuwawezesha kufurahia haki hizo. Cc: @tanpol #DemokrasiaItawale
40
77
6
362
Hili ni tusi kwa watu wa Arusha! Katiba na sheria zinataka mpiga kura awe na akili timamu. Maneno haya ya spika si tu kwamba yanadhalilisha wapiga kura wa Arusha, bali pia Bunge na Taifa! Ulimi usiomgoze ubongo! – at Morogoro, Tanzania
188
83
27
906
Tunadaiwa na NMB Tunadaiwa na Marafiki Tunadaiwa na HESLB Tunadaiwa na FAIDIKA Tunadaiwa na wenye nyumba. Ndugai anadhani kusema Godbless Lema 'amekopa' Milioni 644 tangu aingie bungeni atamdhalilisha; No one has ever made himself great by showing how small someone else is.
76
125
17
1,025
Em tuchukue mda kidogo kuliona hili.... Japokua halijawahi kuzungumzwa lakin inakua ni changamoto sana pale unapoenda kukata ticket lakin humjua jirani yako 😂😂😂 vuta picha ndo ww Na je tufanyeje hapa kuondoa hilo tatizo @idrisultan @MarekaMalili @masoudkipanya @babbiekabae
15
7
4
54